Hakatwi Anakatwa ilivyo athiri Ibada za wasabato leo

Hakatwi Anakatwa ilivyo athiri Ibada za wasabato leo

IGUDUNG'WA

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2011
Posts
2,071
Reaction score
1,317
Nilikuwa katika ibada kanisa la waadventista wasabato Tabata Segerea. Ukweli leo mahudhurio yalikuwa hafifu kabisa ukilinganisha na jumamosi nyingine.

Ratiba ya kawaida inaonesha Shule ya sabato huanza saa 2 asubuhi mpaka saa 4 na dk 45, lakini leo kipindi hiki kimeanza saa mbili kikiwa na waumini 75 (akidi haikutimia) tu kati ya waumini zaidi ya 600 wa kanisa hilo. kipindi hiki kimeendelea mpaka saa tano huku mahudhurio yakiwa yanasua sua.

Ibaada kuu inatakiwa kuanza saa 4 na dk 45 lakini leo ibada kuu imeanza saa 5.55 kiasi kwamba hata mchungaji mwalikwa akasema ingekuwa kanisani kwangu ilala muda huu ningekuwa naitisha wito wa watu kuja kuombewa tayari kwa kumaliza ibada.

Mtikisiko wa EL huko dodoma umeathiri ratiba za kanisa kwa siku ya leo ama kweli EL ni namba ingine
 
Bora hata uliyeenda. Mimi nimeacha kwenda ili niangalie live mkutano kama ulivyokuwa unatangazwa, cha ajabu mpaka sasa ni sifuri sifuri. Hakuna cha live coverage wala nini
 
Bora hata uliyeenda. Mimi nimeacha kwenda ili niangalie live mkutano kama ulivyokuwa unatangazwa, cha ajabu mpaka sasa ni sifuri sifuri. Hakuna cha live coverage wala nini

hahahahaha ccm wasanii sana wamekukosesha ibada hivi hivi
 
Back
Top Bottom