Tunataka mabadiliko whether they will bring positive result or not.Ukizidiwa na kiu unaweza hata kunywa mkojo wako mweyewe.They have failed for 50+ yrs.We want changes.....
Kweli kbs mkuu umenena
Mke wa aliyekuwa waziri mkuu wa awamu ya tatu mh. Sumaye ananyang'anywa ekari nyingi anazomiliki huko Misufini Kibaha.
Source : Nipashe.
Walikuwa wapi siku zote baada ya kuhama ndio wamnyang'anye wanatia aibu sana CCM
Dr.john pombe magufuli kazi kubwa aliyoifanya ndani ya miaka kumi ni kuchoma nyumba za walalahoi (mazoba)(wapumbavu) na kuwabomolea nyumba zao hata bila kuwapa fidia,yeye ndie aliyesababisha wakazi wa kanda ya ziwa kukosa samaki kwa kuchoma makokoro(nyavu) na kuwakamata wavuvi wadogowadogo bila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.