Magufuli asema Sheria haina CCM, CHADEMA wala CUF

Magufuli asema Sheria haina CCM, CHADEMA wala CUF

hUYU JAMAA NI MBABE ALIYEJIFICHA.bOMOA BOMOA YOTE YEYE NDIE CHANZO.


Mbowe vipi? Siyo dikteta? Hataki uchaguzi ndani ya chama. Kawaburuza malofa wake kumkubali Lowassa. Ruzuku yote kibindoni. Analazimisha chama kipange office nyumbani kwake. Anakiuzia chadema malori chakavu kwa nguvu........ Nyie bavicha mna hata chembe ya ubongo kweli?
 
Last edited by a moderator:
Hapa ni kiongozi na WANANCHI sijui munaelewaga au alimuradi mnamtetea mtu ambae usafi wake kwa wananchi haupo ni mkandamizaji wa haki,sasa kunambia Mbowe sijui Lukuvi ndani ya chama chake,mimi sipo huko ,nipo katika kuchuja na chujio linamkataa Magufuli tatizo kubwa hatutizami uso ,tunahitaji CCM iondoke ,huku kwengine huwa tunagusia tu . Kwa kigezo cha kuifuata KATIBA magufuli amewahi kuvunja Katiba kwa hilo la njia,
 
hUYU JAMAA NI MBABE ALIYEJIFICHA.bOMOA BOMOA YOTE YEYE NDIE CHANZO.


Mnataka afenyeje..msipojengewa barabara zenye mtaro mlalamike.kila kitu ni ulalamishi..tumezoea vya buree
 
Last edited by a moderator:
Kwa sasa tunahitaji rais dictator. Watu wengi wanapuuza sheria na miongozo makusudi. Nidhamu na uadilifu kwa watumishi wa umma ni zero. Tingatinga anza kazi mara moja!!!

Atalinda maslahi ya waliomuweka pale unafikiri anaweza wafunga mafisadi ndani ya chama chake?
 
Jana sikuaminia alichosema ,eti kwa nini mapato ya faini ya malori yanayozidisha uzito mizani mkoani iringa ni hafifu?na kutaka uchunguzi ufanyike,INA MAANA MIZANI NI MRADI WA SERIKALI KUWAKOMOA WANANCHI?BADALA ASHUKURU KUWA WENYE MALORI HAWAZIDISHI UZITO YEYE ANATAKA MAPATO

Hapo aliona kuwa rushwa inatumika sana siyo kusema watu wote wanatii sheria. Kumbuka gharama ya kujenga km 1 ya lami ni zaidi ya tsh bilion na nusu.
 
Back
Top Bottom