Recent content by Beatrice22

  1. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu huyu mwajiri

    Hyo ni unfair termination sbb alikua anapaswa kupata barua na iwe imeandika sbb ya kusitisha mkataba.so first stage inabidi awe na mwanasheria.sbb the only place anweza kupata haki zake ni CMA yn court of arbitration and mediation.hyo ni mahakama inayodeal na haki na mwajili na mwajiliwa.lakn...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya haki ya aliopunguzwa kazini

    Kwa ushauri mm nilikua naona bora ukae kimya maana happ msaada uende CMA yaani court of mediation and arbitration.na huko unaweza kupoteza muda wako na hela pia maana unaweza usipatr haki yako pia kama rushwa itatembea.ila ukitaka msaada zaidi nenda CMA
  3. B

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumfungulia mashtaka mdaiwa sugu

    Ofcoz yes unstosha na usiifute na ukisweza nenda ofisi za voda ukaprit
  4. B

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumfungulia mashtaka mdaiwa sugu

    Sijakuelewa akijubu ya chini nn...?hujaeleweka vzr
  5. B

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumfungulia mashtaka mdaiwa sugu

    Unawadai kiasi gani...na je unaushahidi wa kuwa wana pesa zako au uliwapa pesa zako?maana bila ushahidi unaweza kushindwa kupata pesa zako
  6. B

    JamiiForums Tanzania Mambo gani yanaweza kubatilisha WOSIA?

    Na wosia utakua batili kama,kuna wosia zaidi ya mmoja so wataangalia tarehe yn whch one is current,thn kama haujasainiwa, na vitu vingne ila hayo ndo makubwa nayokumbuka
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mambo gani yanaweza kubatilisha WOSIA?

    Utabaki halali sababu wosia hata siku moja hauwezi kubadilishwa...u can not challenge nor change a will.So kama umeandika asipewe ni hapewi kitu hata kimoja.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Msanii AY azidi kuonyesha mafanikio yake

    ametisha aisew
Back
Top Bottom