Walnut Creek
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 5,829
- 6,306
Habari zenu wanasheria, naomba msaada wenu kuna watu na wadai pesa muda mrefu na uvumilivu umenishinda. Nimepewa ahadi za kutosha ambazo hawazitimizi na leo nimeamua kuja kwenye jukwaa lenu kuomba ushauri ni njia gani za kisheria ninaweza kutumia wanirudishe pesa zangu bila usumbufu mwingine.