Recent content by Beatrice Wapalila

  1. Beatrice Wapalila

    JamiiForums Tanzania Huko ulipo lita moja ya maziwa ni bei gani?

    1400-Arusha
  2. Beatrice Wapalila

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Kwa pole arusha hakuna umeme tangu jumanne. Tumeshatoa taarifa lakini hakuna msaada wowote. Tusaidieni
  3. Beatrice Wapalila

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Niliomba kuhamishwa tariff tangu mwaka jana feb kwa sababu natumia chini ya unit 75 kwa mwezi lakini wapiii, pili umeme ukiwa mdogo tu mita yangu ni ya juu inazima mara kwa mara.
  4. Beatrice Wapalila

    JamiiForums Tanzania MSIBA: Nimefiwa na Mama yangu mzazi

    Pole sana ndugu.
  5. Beatrice Wapalila

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kutumia Bibilia ya kwenye simu wakati wa ibada kanisani?

    Sisi jana kanisani kwetu mwinjilisti amesema tusitumie biblia za kwenye simu tena ibadani.
  6. Beatrice Wapalila

    JamiiForums Tanzania Siku ya Mashoto Duniani: Wana JF wenzangu tunaotumia mkono wa kushoto tukutane hapa

    Mimi pia natumia mkono wa kushoto.
  7. Beatrice Wapalila

    JamiiForums Tanzania Tuliosoma St. Kayumba unakumbuka haya?

    [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
  8. Beatrice Wapalila

    JamiiForums Tanzania Tusalimiane kinyumbani!

    Ohayo gozaimasu
  9. Beatrice Wapalila

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa majambazi wanaovamia mabenki ni huyu?

    Ngoja waje
  10. Beatrice Wapalila

    JamiiForums Tanzania Mita mpya za LUKU ni JIPU

    Yangu umeme ukipungua inazima. Kama leo imezima tangu asubuhi mpaka usawa huu.
  11. Beatrice Wapalila

    JamiiForums Tanzania Ibada za kutakasa ardhi/makazi

    Ameen.
  12. Beatrice Wapalila

    JamiiForums Tanzania Happy born day to me

    Ngoja niwaite waje.
Back
Top Bottom