Recent content by bchilya

  1. bchilya

    Usisaidie masikini, acha wafe

    Sasa ulitaka waende wapi ikiwa hawakuwa na uhakika na kesho yao!?
  2. bchilya

    Haya maneno ni kweli kwamba ndio maneno ya mwisho kusemwa na Magufuli?

    Hakika kama ni kweli hayo maneno yalitoka kwake, kuna namna ilifanyika juu yake!
  3. bchilya

    Ijue nchi ya Ugiriki/ Uyunani (Mama wa nchi za Ulaya)

    Mbona natamani nifike pia nikatalii...
  4. bchilya

    Mwanamke akikukera usimpige wala kumuacha

    Ukibahatisha usidhani kuwa wanawake wote wapo hivo kama unavofikilia. Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
  5. bchilya

    Mwanamke akikukera usimpige wala kumuacha

    Kuna familia ya jamaa yangu wa karibu sana imewahi kutokea nikashirikishwa mawazo ili kutafta namna ya kutatua hiyo changamoto. Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
  6. bchilya

    Mwanamke akikukera usimpige wala kumuacha

    Unachomaanisha kilikuwepo kwa utaratibu na cyo kwa jamii yote, alaf pia mila haina nafasi kubwa kuliko Imani ya kiroho ya Mungu ndo maana tukirudi kwenye vitabu vinatueleza vema kabisa. Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
  7. bchilya

    Mwanamke akikukera usimpige wala kumuacha

    Dahl! Inakuwa changamoto sana kuishi nalo hili maana hiyo safari haitakuwa na amani ndani ya nyumba binafs lakini. Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
  8. bchilya

    Mwanamke akikukera usimpige wala kumuacha

    Vp kama akilala na kaka yako mtoto wa bamkubwa wako utafanyaje hapo hebu nisaidie hili ndug!
  9. bchilya

    Mfungwa Lillian aliye Hong Kong

    Hakika ipo hivo kiongozi [emoji848] Sent using Jamii Forums mobile app
  10. bchilya

    Laiti kama kweli Mungu hayupo... Nini itakuwa hatma ya viumbe wanyonge?

    Mungu hajaribiwi utapoteza muda bure, fikra zako haziwezi kuwa zake
Back
Top Bottom