Recent content by BBen2

  1. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini Mandela hakumsamehe mkewe Winnie?

    Ametusaidia sisi ambao hatulisoma gazeti hilo,
  2. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wale waliowahi kutoa mahari halafu wakatamani/wakaingia mitini

    Usipo kuwa makini huyu mwanamke atakuja kukutawala, mchunjie baharini,
  3. B

    JamiiForums Tanzania Faida na hasara kwenye makundi ya WhatsApp

    Duuuhh,
  4. B

    JamiiForums Tanzania Nini mustakabali wa siasa za Tanzania na vikundi vya "Wanamgambo" wa Vyama?

    Naona sasa picha zimeonekana,
  5. B

    JamiiForums Tanzania Nini mustakabali wa siasa za Tanzania na vikundi vya "Wanamgambo" wa Vyama?

    Kweli picha hata Mimi sizioni,
  6. B

    JamiiForums Tanzania Nipo Mwanza, haijanivutia kabisa

    Huyu jamaa anaongea kama amekatika kichwa, nyegezi ni sehemu gani kuna mashimo? Acha kudanganya umma,
  7. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tabia ya kudaiana vitu baada ya kuachana

    ASANTE,
  8. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tabia ya kudaiana vitu baada ya kuachana

    Matokeo yake nilimpa lakini akanigeuzia kibao Mimi sitaki tena vitambaa nataka pesa, nikamuuliza shilling ngapi akadai elfu kumi na tano, nikampa nikabaki na vitambaa, na Mimi mpaka Leo navitumia imekuwa kama kumbukumbu,
  9. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tabia ya kudaiana vitu baada ya kuachana

    Mimi imenitokea tumeachana mdada aliwahi kunipa zawadi ya vitambaa vya kufuma ili nipambe ndani, tumeachana kaanza kunidai, Sasa huyu ni mwanamke na sio mwanaume kama mnavyodai, Mimi naona inategemea na mtu mwenye,
  10. B

    JamiiForums Tanzania Fuvu miaka 100 lakutwa ofisi za mawakili IMMMA advocates

    MAsha waziri wa mambo ya ndani wa Jakaya, Magai, lshengoma jitu kama hicho,
  11. B

    JamiiForums Tanzania Fuvu miaka 100 lakutwa ofisi za mawakili IMMMA advocates

    Masha waziri wa mambo ya ndani wa jakaya, mwingine anaitwa magai, KTU kama hicho,
  12. B

    JamiiForums Tanzania Fuvu miaka 100 lakutwa ofisi za mawakili IMMMA advocates

    Masha waziri wa mambo ya ndani wa zamani, mujulizi, pia, nakumbuka,
  13. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho: Usiku wa jana wa yule msichana ambaye hakupika chakula

    Aids kill take precaution,
  14. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho: Usiku wa jana wa yule msichana ambaye hakupika chakula

    Utaambukizwa ukimwi wewe Fanya mchezo, demu wa kuja Saa sits za usiku? Huyo demu Yuko huru kiasi gani!!!
  15. B

    JamiiForums Tanzania Hapa napo Trafic atahitajika kuja kupima kujua nani mwenye makosa?

    GARI la mbele lilirudi nyuma,
Back
Top Bottom