Sababu ya hayo Maamuzi unaweza ukawa wewe mke.
Wanaume wanao cheat sio kwamba wanapenda ila ni Mazingira yamewafanya waweivyo(Mazingira ndio nyie wake)
Akili ipo kwenye Kutafuta suluhu
Lakini Jaribu kufanya Kitu kimoja maengineer tunaita PM (Preventative Mantainance) unasafisha Kila dalili inayo weza kusababisha Tatizo likatokea.
Tulia fatilia taratibu utakuja kugundua Kila Kitu kina Sababu,
Usipo kubadi utaendelea ivyo ivyo Kwa Kila Mwanaume Wengine utahisi tu wanakucheat utakosa Amani nao utawaacha mwisho wa siku utazeeka alafu UTAJUTA,
Ndio maana nimekwambia mwanamke unatakiwa kuwa na Akili maana unaweza mtengeneze...
Mwanamke una nafasi Kubwa ya kumuweka Mwanaume Jinsi unavyo taka,
Lakini Kwa unyenyekevu na utii wa Hali ya juu(sio Kwa kujifanya unajua sana maishs)
Yani unacho takiwa kujua ukiona Mwanaume anatoka nje ya familia yake na anakuwa na Amani Kabisa ujue Kwa mwanamke wake Kuna Kitu hakipo sawa...
Apo ndio Unakuwa na Maamuzi ya aina Mbili na unatakiwa kuchagua Moja
Kuvunja Ndoa Yako au Kukubali Kuelewana na Mmewako,
NB:
Mwanamke mpumbavu atakimbilia Kuvunja Ndoa.
Usimfatilie Mwanaume Wala Kumu hoji hoji Maswali,
Onesha upendo utii wa kweli na Onesha kuwa na Amani Wakati Wote, jishushe Wakati Wote (sio kinafiki) na ujishuhulishe na Kazi zingine Ndogo Ndogo
NB.
Usi Cheat
Tukisema mipaka hatu maanishi kwamba Mtoto Hana Nafasi,
Ni Kama Sheria za Nchi tu Kuna Vitu hutakiwi kufanya Pamoja na kuwa Vipo ndani ya Uwezo wako na Maisha yanaenda
Tunacho kataa ni mazoea Kama Mtu na Mpenzi wake na Sio Kama Mtu na Baba yake ( Kwa Watoto wakike Walio balehe )
Wewe una...
Kuna namna Mahusiano hayatakiwi kutia shaka Kwa Jamii inayo kuzunguka,
Ndio maana Mtoto ni wako Lakini akiwa na miaka flani unatakiwa umhamishe kutoka kitandani Kwako na mke wako umpeleke chumba Cha Watoto na Kuna Muda utafika hauta takiwa kulala nae kwenye kitanda kimoja Kwa Sababu yeyote...
Ni Maamuzi poor yanayo mjengea Tabia na kumfanya kuwa na poor mind,
Kama ajishuhulishi na chochote (Mvivu) na anatamani maisha Mazuri,
Huyo hawezi akawa msaada popote pale
Hata akiolewa Bado ata rudisha familia yake nyuma kwa Sababu ya Tabia na mtazamo wake wa Maisha,
Hili ni wimbi la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.