Recent content by bb2

  1. B

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Natafuta wimbo wa barua kutoka bangui umeimbwa na Nash mc
  2. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mwenza anayeishi na VVU

    Messeger yng haifunguki nichek 0673252213
  3. B

    JamiiForums Tanzania Taja simulizi 3 bora ulizosoma JamiiForums 2023

    Biashara ya uber mwamba INSIDER MAN katisha sana
  4. B

    JamiiForums Tanzania Tahadhari ukiwa unakuja Tarime

    Umeandika pumba tu tena wanawake wa tarime ata kama mke wa mtu akikuona ww mwanaume wa kuja sio mzawa ukimtongoza tu anakukubalia
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wa kutafuta kazi

    Ndugu kama kuna uwezekano naomba msaada wa saidia fundi mawasiliano yng ni 0766889930
  6. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mzazi mwenzangu anadai ananipenda lakini nimegundua ana mwanaume mwingine

    sio hvy ndugu yangu angalia ulivyocomment awali na sasa je unaweza ukasema ni mtu mmoja kaandika au wawil awal ulicomment kishabik na kizandik
  7. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mzazi mwenzangu anadai ananipenda lakini nimegundua ana mwanaume mwingine

    kodi nalipa mimi ila nlifanya kuondoka ili kuepuka ugomvi na mambo mengine
  8. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mzazi mwenzangu anadai ananipenda lakini nimegundua ana mwanaume mwingine

    pesa sio kila kitu na hy pesa unayoongelea ipo nimekuja kutafuta the means on how to solve it? na mahusiano sio pesa tu unavyofikiria refer back kwa mahusiano ya watu wenye pesa unaowajua
  9. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mzazi mwenzangu anadai ananipenda lakini nimegundua ana mwanaume mwingine

    nimekuelewa but mwanamke sina maana sio kipaumbele changu saaana kuwa na wanawake wengi
  10. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mzazi mwenzangu anadai ananipenda lakini nimegundua ana mwanaume mwingine

    broo nimekuja kuomba ushauri je wanaoomba ushaur ni watoto tu alafu ww unaelewa nn mtu anaposema maana ya ajira maana unaongea as if hauna akil
  11. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mzazi mwenzangu anadai ananipenda lakini nimegundua ana mwanaume mwingine

    shehe unaposema sina kitu unakosea kama mtu naweza kumuhudumia na kila kitu ni process hata ndoa ni process hauwez kukulupuka that's why nimekuja kupata ushaur then how comes unaniambia pesa ndo kila kitu ktk mahusiano inamaana ndoa ya bill gate isingekufa na ndoa na mahusiano mengine ya watu...
  12. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mzazi mwenzangu anadai ananipenda lakini nimegundua ana mwanaume mwingine

    broo hilo swali nsharijibu mbona ongea kitu cha uhakika
  13. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mzazi mwenzangu anadai ananipenda lakini nimegundua ana mwanaume mwingine

    shehe nlisema nataka matusi au ushauri
  14. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mzazi mwenzangu anadai ananipenda lakini nimegundua ana mwanaume mwingine

    poa kaka nimekupata
  15. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mzazi mwenzangu anadai ananipenda lakini nimegundua ana mwanaume mwingine

    nashukuru sana kwa ushauri mzur
Back
Top Bottom