Recent content by Bazenga01

  1. Bazenga01

    JamiiForums Tanzania KERO Angalia Barabara toka Dodoma kwenda Iringa. Serikali ijitafakari

    Ukisema ufungue turbo lazma uchane tairi. Ni huzuni kwa kweli.
  2. Bazenga01

    JamiiForums Tanzania Oya nimefuta Kauli, Nimekuja Bliss Bar & Grill Tabora, kha, Hadi nyama Foil zipo kama Sinza tu! Nikipotea Me dereva wa Halmashauri jamani!

    Hehehe, Ulikurupuka kutoa lawama kabla hujaongea na wandewa wa mji.. That aside, mbona unakunywa juisi bar?? Au upo Kitete RRH??
  3. Bazenga01

    JamiiForums Tanzania Utabiri wa TMA kila siku ni huu

    Unaweza kutuonesha(share) hiyo taarifa waliyosema ni 100%??
  4. Bazenga01

    JamiiForums Tanzania Mwamposa: Nilimkatalia Chivayo asihudhurie kwenye mkesha wangu

    Tapeli kazini
  5. Bazenga01

    JamiiForums Tanzania Marehemu Jane ndiye aliyenunua kiwanja na kujenga, alitaka jina lake liwe kwenye hati

    Nafikiri wala siyo kulazimisha, katika hali ya kawaida kabisa kwa kuwa tayari ni wana ndoa na mmoja anamiliki kiwanja ni kawaida kabisa na ni rahisi kuanza ujenzi kwenye hicho kiwanja. Sema nini, wanawake mara nyingi wanaendeshwa na hisia/hasira ina sababisha watoe maneno ambayo mtu ukikaa...
  6. Bazenga01

    JamiiForums Tanzania Aliyechinjwa Haiti

    Huwa inaanza mdogo mdogo, hasa kwenye hivi scary movies, wrong turn and the likes. Ni kama kwenye mapenzi, walianza kutuonesha wanavyokiss na kuf*ck hivi sasa inaonekana ni kitu cha kawaida kabisa. Hivi karibuni wamehamia kwenye usenge na usagaji.
  7. Bazenga01

    JamiiForums Tanzania Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

    Muuaji. Unajiskiaje baada ya kutekeleza mauaji ya Ben
  8. Bazenga01

    JamiiForums Tanzania Japo Mungu Ndie Muumba wa Dunia Hii, Inawezekana ni Shetani Ndie Mtawala wa Dunia Hii?, Haiwezekani WaKweli Wana Sulubiwa Huku Mungu Anaangalia Tuu!

    Kwanini ameruhusu muumini kuwa gerezani?? Au muumini amefanya kosa gani mpaka kuwa gerezani pamoja na kafiri???
  9. Bazenga01

    JamiiForums Tanzania Japo Mungu Ndie Muumba wa Dunia Hii, Inawezekana ni Shetani Ndie Mtawala wa Dunia Hii?, Haiwezekani WaKweli Wana Sulubiwa Huku Mungu Anaangalia Tuu!

    Bado kuna mkanganyiko. Kuna andiko linasema, " Na alikujua kabla ya kuumbwa kwako na mpaka hatima/mwisho wako". Sasa kwanini akupime?? Ina maana hajiamini na ufahamu wake juu ya kiumbe chake???
  10. Bazenga01

    JamiiForums Tanzania Karibuni CCM, Tuijenge Tanzania Yetu Pamoja

    Ukisoma itikadi za ccm unaweza kuamini ni chama kinacho jitambua. Kiuhalisia, zilongwa mbali, zitendwa mbali. Ccm kimepoteza dira na muelekeo - Horace Kolimba, R.I.P Ccm kimekuwa kificho au pango la wezi, wauaji, walanguzi na maharamia ya kila aina. Kitu ambacho wazee au watu wenye uadilifu...
  11. Bazenga01

    JamiiForums Tanzania Wamasai wenye rasta walitulizwa na Masai rapa, mwenda pole hajikwai, alijikwaa baada ya kutegwa na jiwe kubwa, hakunyanyuka tena!

    Sidhani, alishapiga hesabu zake na hiyo ilikuwa ni sahihi kwake. Muda utaongea.
  12. Bazenga01

    JamiiForums Tanzania Haki ya "AKWILINA AKWILINI" na maswali ambayo bado yananiumiza kichwa

    Walijengewa lini na huo mzigo wa maana walipewa lini hao wazazi wake?? Nauliza hivi kwa sababu miezi kama nane au zaidi iliyopita Baba mzazi wa marehemu Akwelina alihojiwa na MillardAyo akiomba msaada kutokana na dhiki inayomkabili yeye na familia yake...
  13. Bazenga01

    JamiiForums Tanzania KERO Askari Polisi wengi hatupati posho ya pango

    Iko hivi, kibinadamu ngoja nikupe pole wewe na wenzio wengi mlio katika hali hiyo. Kwa kweli chuki ya raia kwa polisi ipo juu sana sababu zipo wazi. Ukikaa chini na kutafakari mpo kwenye wakati mgumu sana, ndiyo ile wazaramo wanasema "Being placed between the rock and the hard surface" kwa...
  14. Bazenga01

    JamiiForums Tanzania Prof. Elgidius Ichumbaki: CCM imeshindwa kuisimamia Serikali! Wassira ajibu kwa porojo.

    Wanatumia mbinu za kizamani na za kijinga sana. Kwenye mijadala makini kwa mustakabali wa taifa, ccm wanaleta watu/hoja zitakazoleta mizaha na utani ili kutoa watu kwenye mstari.
Back
Top Bottom