Recent content by Bayuu

  1. B

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM yamtisha mtangazaji Sam Mahela kwa kutangaza treni iliyokwama

    kwa nn watanzania hawapendi ukweli?
  2. B

    JamiiForums Tanzania Ahadi hii ya Magufuli ni suluhisho la ajira kwa vijana!

    mwambie apunguze ahadi atakuja juta?kasema elimu bure mpk iv ila pinda kasema kuchangia elim halikwepeki.?kasema viwannda kigwangala kasema ccm hana mpngo wa kujenga wala kfufua zaid kuboresha uwekezaji je yy ilan ipi anatumia?
  3. B

    JamiiForums Tanzania Makamba: Lowassa ni mroho wa madaraka

    matusi hayana tija km huwez andika ustarabu acha hatujazoea matusi humu
  4. B

    JamiiForums Tanzania CCM ya Magufuli yashangaa mikataba mibovu ya CCM Mkapa na Kikwete

    iv kweli? km kweli je yy alikuwa haingii baraza la mawazir?
  5. B

    JamiiForums Tanzania Lowassa atoa pole ya vifo vya Mahujaji Mecca

    alipokuwa mnamwita achangie je alikuwa na udhu?ama leo ndo umeona?msipandikize chuki kwa kuwa haupo nae wngine hatuna din na ww pia ni muumin tu huijui dini
  6. B

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Mtu Jeuri na Fedhuli akikuuliza Tanzania mna nini, Mjibu tuna Amani

    najiuliza tutawalipa nn wanamuziki baada ya 25?:dizzy:
  7. B

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Sitategemea wahisani kuendesha serikali

    kujua takwim siyo kujua kuongoza na bongo hatufuati takwim mana wtz wanaishi kwa matumain
  8. B

    JamiiForums Tanzania Ni dakika 5 za Lowassa

    hakuna haja ya kujadili afya ya mtu jadili je ww mzma?leta vya maaana tumechoshwa na hoja lwasa jaman tuambien kwa nn watoto wanakaa chin? kwa nn watu wanatibiwa chin ya mt?
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mapambano dhidi ya rushwa: Tujifunze toka Rwanda

    kusema sii kutenda je jeno lisemwalo kiongozi lazma amlinde kiongozi aliyepita hapo vp
  10. B

    JamiiForums Tanzania Lowassa, Dk. Slaa, tusipotoshe ukweli

    ebu acheni lowasa lowasa hamna jingine?ongeeni sera ndan ya ccm walituhumiwa wengi km ni wakwel tuleteeni na wengiine kwa nn mmoja tuu mmmmmmmmmmmh jaman kuwen fair km ndo mnajiita wazalendo kweli ama uzalendo mpk uende jkt?
  11. B

    JamiiForums Tanzania UKAWA na Katiba

    imesimamishwa unaiongelea ili nn?angalia sera ktk siii sera
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

    picha jaman tuko huku mikoan?
  13. B

    JamiiForums Tanzania Kweli nimeamini ACT wazalendo ni tawi la CCM

    Niwaulize mliozaliwa na kupata kazi kabla 1992je uliweza pata kazibila kipande cha vijana nyie wa digtal usijibu msaana najua hamjui maaana hata hamjui hstor ys nchi yenu
  14. B

    JamiiForums Tanzania Mnyika uko wapi?

    Weka mapya
Back
Top Bottom