Wewe ufisadi hauwezi kuwa mwisho wakati mtarajiwa wenu ndo fisadi nyangumi, na kukishakuwa na ufisadi UJINGA,UMASIKINI,MARADHI,UJANGILI, NA MIKATABA MIBOVU lazima viongezeke kwa kasi ya ajabu kisemo chake.
Kama mnajua hilo, kwa nini hamkumpeleka mahakamani ili haki itendeke? Kulala mika hapa mitandaoni na kwa wananchi ndiyo kuondoa ufisadi?
Mnasemaje juu ya ufisadi wa magufuli na mafisadi lukuki yaliyobaki ccm?
Masharti ya Slaa ilikuwa lowasa ajitakase. Ameshasema mwenye mradi wa richmond ni Kikwete, angesema kwa lugha ipi ili mmuelewe? Mbona hamwendelei hapo alipoishia kumhoji kikwete?
Huwezi kuunganisha dots kwamba kwa ufisadi wa kikwete ndiyo maana hana moral authority ya kumfikisha lowasa mahakamani?
Acheni ujinga. Dr. Slaa tumeshaambiwa hakuondoka kwa ajili ya Lowasa bali kwa karipio la mke wake na mashahidi wamesema kwamba Slaa na mchumba wake wote pamoja kwa nyakati tofauti wamekiri kuwa mgogoro wa slaa kujiondoa CHADEMA ni shinikizo la mke wake kutaka awe first lady.
Hajakanusha wala uwezo huo hana.
Wewe ni nani unayetaka tukubalie maruweruwe yako yasiyokuwa hata na chembe ya mchaganuo?
Hizo fisadi zilizojaa hadi darini mwa serikali kiasi serikali inapumlia juu juu, zimeletwa na Lowasa?
Kwa nini utulazimishe tuendeee kuwa chini ya mafirauni waiozalsha na kukomaza ufisadi na bila haya mnamlazimisha Lowasa ajitetee hata baada ya kujitetea hamjui nini cha kufanya. Kwa nini msiyalazimishe hayo mafirauni yenu yanayowadanganya na kuunda maakama ya ufisadi YATOE MAELEZO TOSHELEVU JUU YA MAFISADI LUNDO YALIYOKO CCM YENYE MEREMETA, EPA, RADA, NDEGE YA RAISI, KAGODA, ESCROW, REA, UJENZI WA BOMBA LA GAS, UJENZI WA MABARABARA YA MAGUFULI N.K?
Huoni kwa ccm kukataa kuongelea ufirauni hii, na kufanay cheap politics za kuzomea ukawa ni mafisadi wakati wakijua ccm imejaa ufisadi kuwa ni hila na kukosa dhamira ya kweli ya kupambana na hali hii?
Tafadhali fungeni virago mtuachie nchi yetu. Kwanza msiendelee kutuchafulia hali ya hewa hapa kwa kuleta mada za kipumbavu.