Hivi nyie wadanganyika hamjawaelewa hawa CCM Wanavyoshabikia ufisadi bila kujua madhara yake, kwa kulindana na kuwa na mawazo ya kupata ukubwa kwenye serikali yao, nyie subirini huo mwongozo wa mbatia kama wataukubali, Ila kama angekuwa ni mbunge wao wangeukubali, wamekaa kupokea posho tu, bila...