Recent content by bay_zooh

  1. bay_zooh

    JamiiForums Tanzania I’m looking for an internship or a job opportunity

    Asante
  2. bay_zooh

    JamiiForums Tanzania I’m looking for an internship or a job opportunity

    Amiin
  3. bay_zooh

    JamiiForums Tanzania I’m looking for an internship or a job opportunity

    Thank you!
  4. bay_zooh

    JamiiForums Tanzania I’m looking for an internship or a job opportunity

    Habari za wakati huu wana JF. Nipo hapa kuwaomba mnisaidie natafuta nafasi ya Intern au kazi niko na Shahada ya mambo ya(Uchumi na Takwimu) from UDSM. Nina ujuzi wa masuala ya Usimamizi wa bidhaa ama vifaa (Material controller) pamoja na kuwa data analyst. Also, I’m capable of working as...
  5. bay_zooh

    JamiiForums Tanzania Myahudi awapiga risasi wayahudi wenzie huko miami akidhani ni wapalestina

    Wazayuni wa kimara temboni 😂😂😂😂🙌
  6. bay_zooh

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum: Share chochote kuhusu hobbies

    Likewise😊🔥
  7. bay_zooh

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wenzangu bao tatu mnapigaje? Mbona mimi moja tu nakinai kupita maelezo!

    Acha uzinzi kijana, maisha ni mafupi mno.
  8. bay_zooh

    JamiiForums Tanzania Nina shida na ndugu Mshana Jr

    Habari za wakati huu, Nina shida na Mshana Jr. Ewe ndugu Mshana Jr nimekutafuta PM lakini meseji haziendi. Uonapo uzi huu please naomba unitext. Shukran.
  9. bay_zooh

    JamiiForums Tanzania Wenye makampuni na connection naombeni mnisaidie kazi.

    Kama kichwa cha habari kisemavyo hapo juu. Kwa Mara nyingine narudi kwenu wana jf, naombeni mnisaidie kazi yoyote ile ya halali. Nina shahada ya mambo ya uchumi na mahesabu pia. Lakini nipo tayari kufanya kazi yoyote as long as iwe halali tu, sina hata mtaji wa kuuzia ubuyu hali yangu ni mbaya...
  10. bay_zooh

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana wanajisahau sana, huyu dogo atarudi kwao na shangazi kaja pekee

    😂😂😂😂
  11. bay_zooh

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana wanajisahau sana, huyu dogo atarudi kwao na shangazi kaja pekee

    Tafuta pesa uache kufatilia maisha ya watu wenaee looh mwanaume mzima mipovu inakutoka alaaaa!
  12. bay_zooh

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana wanajisahau sana, huyu dogo atarudi kwao na shangazi kaja pekee

    Hahahha hata hapo alipo nna wasiwasi nae.
  13. bay_zooh

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana wanajisahau sana, huyu dogo atarudi kwao na shangazi kaja pekee

    Mwenyezi Mungu akusamehe.
  14. bay_zooh

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana wanajisahau sana, huyu dogo atarudi kwao na shangazi kaja pekee

    Miongoni mwa combination zenye nguvu ni… Maskini+ Roho mbaya + Wivu.
Back
Top Bottom