Uzi maalum: Share chochote kuhusu hobbies

Uzi maalum: Share chochote kuhusu hobbies

Na ukubwa huu napenda watching animation movies balaa! Mpaka zingine nimekariri maneno ya scenes.
 
Napenda kusafiri, kusoma vitabu, kuandika, kuogelea, kupika na kuangalia movies (true crime, historical, documentaries & mystery or crime shows) naogopa horror movies hasa zenye jump scares.
Interesting unapenda docuSeries! Ndio mambo ya OJ Simpson All The Queens Men eh!

Traveling napenda ila huwa nachoka kama safari ni ndefu.

Nimependa hii unapenda kuandika, me pia mjomba wako napenda kuandika pia especially kwa kutumia kalamu not by typing.
 
Live muziki, kupika, nakusikiliza watu wakibishana kuhusu simba na yanga, Ukraine na Russia, trump na putn, gaza na Israel, ccm na chadema
 
Back
Top Bottom