Hii kitu haiwezi kujibiwa kwa concept ya gravity kwa sababu gravity ina athari ndogo sana katika vitu ambavyo ni approximately weightless,ila linaweza jibiwa kwa concept ya density kwa sababu density ina effect kubwa katika vitu kama hv especially gases.Kitu ambacho kipo less dense huwa kinakaa...
Mkuu fuata procedure hizi
-ingia kwenye settings then nenda kwenye "manage apps"
-Itafute play store hapo kwenye manage apps
-Ibofye hiyo play store halafu utaona sehemu imeandikwa "uninstall updates"
-Bofya hapo utaiuinstall then ingia kwenye browser,may be chrome/uc browser
-Then utaandika...
Mkuu naona hiyo link imezingua sa hivi aisee,but ipakue hapa kupitia dropbox na ikishakudirect utaclick hapo nilipozungushia duara then itaanza kujidownload Dropbox - UkTVNow_7.0.apk
Inaitwa uktvnow ipakue hapa kupitia dropbox Dropbox - UkTVNow_7.0.apk
Ila kustream kwake ni vyema ukatumia external player,mx player ndio ipo bomba zaidi
Angalia pale ardhi university,chagua environmental eng/municipal#industrial Service eng/environmental science/landscape architecture,yani zipo nyingi tu pale
Sim yangu inaishia kwenye maandshi ya tecno katika kuwaka then nimejaribu kurestor kwa kutumia power botton na volume down lakin yanakuja maneno y kichna(siyaelew) kwa anae elewa anijuze tafadhali,natanguliza shukran
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.