Kwanini moshi huelekea angani bila kurudi ardhini?

Ahsante sana kwa majibu yako murua.climatologists wanasema kuwa ili condensation itake place huko angani ni lazima pawe na small particles like ashes kwa ajili ya kusaidia ku-bond(ashes act as a nuclear in the condensation process) ,je kwanini ashes zielee angani wakati tunatambua kuna hiyo gravitational force?je kwa kutumia principle ya heterogeneous mixture kwa nini ashes and dusts zielee juu ya hewa while hizo particles zina high density than air?what is the role of gravitational forces kwenye hiyo heterogeneous mixture?
 
Mkuu kuna kitu kinaitwa density moshi una density ndogo sana kuweza kuwa pulled toward the earth centre Sio kwamba gravity hai act ktk moshi ipo
 
Moshi hauna uzito(mass) hence gravitation force can not act upon the same!
F=mg if m=o hence F=0 (assume g=9•81m/s2)
 
Moshi hauna uzito nani alisema?.

Moshi ni hewa iliyoungua,kwa maana hiyo kama ni hewa basi moshi una density.Kama moshi una density kwa maana hiyo moshi una uzito(mass).

Kwa sababu Density=Mass÷Volume.

Kwa maana hiyo Mass=Weights (W)÷gravitationalforce(g).

Kwa maana hiyo Density(density of burned air) =Wg÷V.
kwa maana hiyo gravitation force kwenye moshi ipo.
 
Ahsante sana kwa majibu yako murua.climatologists wanasema kuwa ili condensation itake place huko angani ni lazima pawe na small particles like ashes kwa ajili ya kusaidia ku-bond(ashes act as a nuclear in the condensation process) ,je kwanini ashes zielee angani wakati tunatambua kuna hiyo gravitational force?je kwa kutumia principle ya heterogeneous mixture kwa nini ashes and dusts zielee juu ya hewa while hizo particles zina high density than air?what is the role of gravitational forces kwenye hiyo heterogeneous mixture?
Kwa kukusaidia tu ni kuwa gravitation force inapatikana ktk Uso wa dunia.Kuna mahali ukienda juu zaidi ukatoka ktk uso wa dunia gravitation force inakuwa zero.Ndio maana huwa unasikia ndege imepotea(inapotea pindi inapotoka ktk anga la dunia).

Think hard.
 
: S
smokestack-air-pollution.jpg
moke rises because hot air rises—and hot air rises because it's less dense than the cooler air around it.
 
Ikiwa dunia inavuta vitu mbalimbali kuelekea chini kupitia nguvu ijulikanayo kama "gravitational force".
Je kwanini nguvu hiyo ya "gravitional force" haivuti moshi kuelekea down badala yake moshi huo huelekea tu angani?je ni nguvu ipi inayopelekea moshi kuvutika kuelekea tu angani?
Mwenye uelewa wa kutosha naomba anisaidie juu ya swali hilo
Gravity has less effect on weightless objects including smoke
 
Properties of matter.
Composition and Decomposition of matter.
 
Gravity has less effect on weightless objects including smoke
Kwa hiyo mkuu unataka kuniambia kuwa miji yenye viwanda vingi kama tokyo,shanghai gravitational forces yake ni sawa na newala au butiama?
 
Moshi hauna uzito nani alisema?.

Moshi ni hewa iliyoungua,kwa maana hiyo kama ni hewa basi moshi una density.Kama moshi una density kwa maana hiyo moshi una uzito(mass).

Kwa sababu Density=Mass÷Volume.

Kwa maana hiyo Mass=Weights (W)÷gravitationalforce(g).

Kwa maana hiyo Density(density of burned air) =Wg÷V.
kwa maana hiyo gravitation force kwenye moshi ipo.
Jibu swali lililoulizwa
 
Ikiwa dunia inavuta vitu mbalimbali kuelekea chini kupitia nguvu ijulikanayo kama "gravitational force".
Je kwanini nguvu hiyo ya "gravitional force" haivuti moshi kuelekea down badala yake moshi huo huelekea tu angani?je ni nguvu ipi inayopelekea moshi kuvutika kuelekea tu angani?
Mwenye uelewa wa kutosha naomba anisaidie juu ya swali hilo
Mwanzo nililiona swali hili ksma la kipuuzi lakini kadri majibu yalivyotolewa nimegundua kwamba ni swali gumu linalohitaji majibu ya kisayansi na ya kiakili zaidi. Subiri nskuletea jibu muafaka.
 
.......humu waliosoma sayansi na sio wanasayansi...........
 
Asante Ndalichako kwa kuongeza somo la sayansi moja ya masomo lazima kwa wanafunzi wa sekondari o level.
 
Ikiwa dunia inavuta vitu mbalimbali kuelekea chini kupitia nguvu ijulikanayo kama "gravitational force".
Je kwanini nguvu hiyo ya "gravitional force" haivuti moshi kuelekea down badala yake moshi huo huelekea tu angani?je ni nguvu ipi inayopelekea moshi kuvutika kuelekea tu angani?
Mwenye uelewa wa kutosha naomba anisaidie juu ya swali hilo
Hii kitu haiwezi kujibiwa kwa concept ya gravity kwa sababu gravity ina athari ndogo sana katika vitu ambavyo ni approximately weightless,ila linaweza jibiwa kwa concept ya density kwa sababu density ina effect kubwa katika vitu kama hv especially gases.Kitu ambacho kipo less dense huwa kinakaa juu ya kitu ambacho kina high density kwa mfano ukichukua boya ukilizamisha kwenye maji lazima boya li-rise kwa sababu boya ni less dense than water,kwa hiyo hata moshi nao lazima uende juu kwa kua moshi ni hot air ambao ni less dense than cold air around it.
 
Back
Top Bottom