Recent content by Baswigwe

  1. B

    Nauza iPhone 4 bei laki tatu tu

    Wadau nauza iPhone 4 mpyaaaaa, safi, bado ipo makin kwa gharama tajwa apo juu! Mwenye kuhitaji tuwasilaane kupitia no 0717924356 au an inbox! Ni laki tatu tu Shukrani.
  2. B

    Mjadala: Kero za michango ya Sherehe katika jamii ya Watanzania

    Mtoa hoja usijinasibishe nao hyo nd njia rahisi na pekee na usiwe mnafiki ktk Maisha Wew jipambanue ktk Maisha km mm kwamba sichangii aina yoyote ya sherehe' hakuna atakaekuletea kadi na hata km wakileta unawaambia kbsa m sichangii haruc km una shida, matatizo, Majanga njoo at usiku wa manane...
  3. B

    Maswali kumi kwa David Kafulila kuhusu IPTL

    Swali namba 09 muulizaji nd unatakiwa uwe wa wa kwanza kulithibitisha kwa kuweka ushahidi na viambatanisho! Tumeskia mengi na kila siku watu wanazusha mambo, ifike kipindi na maswali tunayouliza tuwe tuna historia nayo au ushahidi nao! Cyo umeskia barabaran Kafulila kahongwa, Zito kahongwa na ww...
  4. B

    Boko haram jana wameua 17 juzi 118

    Nafikir n vyema kabla hujaanza kuunga mkono harakat wanazofanya Boko haram km kweli Lina lengo la kusimika utawala wenye dola ya kiislam n vyema ukajiuliza maswali yafuatayo mosi wanachokifanya Ndyo msingi kweli wa Jihad aliotuagiza mtume s.a.w, pili hivi kweli juhad ni pamoja kuua watu hovyo...
  5. B

Back
Top Bottom