watu wana park ma bus wanauza visima yy anaongeza au alizan December ya mwakahuu ni kama December za miaka ya kikwete mwambie asbr kuhesabu moja mpaka kumi
Habar za jion wadau wa jukwaa
Kwa yoyote mwenye mercury nyekundu nanunua tafadhali kwa bei nzuri kabi saa hadi mwenyewe ataridhika
Na sihitaji nyingi nahitaji kiasi kidogo tuu kama unayo njoo tuzungumze
siku njema
baba ako na mama ako nao walikua wanazaa ovyo ovyo kama panya na sungura ndo maana ukapatikana ww ambae unawaambia watu wasizae
acha watu wafyatue tuu umaskin na wao na familia zao ww kula chips mayai ukalale
uchumi n mgumu hata watu wasipo zaa nyoosha maelezo sio mnaanza kusingizia watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.