ADHABU YA UHAINI TANZANIA SIO LAZIMA KIFO.
Bashir Yakub, WAKILI.
+255714047241.
Mahakama kuu na ya Rufaa zinasema kuwa popote katika sheria ambapo limetumika neno "SHALL BE LIABLE ON CONVICTION TO SUFFER DEATH", maana yake ni kuwa sio lazima mtuhumiwa ahukumiwe kifo bali anaweza kuhukumiwa...
Bashir Yakub, WAKILI.
+255714047241.
Mama wakati uko bize kujiandaa na mkutano wa Nishati Chalamila amemdihaki na kumdharau mwanamke wa Tanzania.
Mama wewe ni mwanamke, ulipata mimba, ulipata uchungu, na kisha uliingia Lab kujifungua.
Unajua vizuri kadhia wakati wa mchakato huu . Fikiria upo...
SIO KOSA MTU KUCHOMA MALI YAKE.
Bashir Yakub, WAKILI
+255714047241
MOSI, ili tukio liwe kosa lazima kuwe na upande ambao umeumizwa/ umekosewa(offended party).
Ukimpiga mtu, ukiiba mali ya mtu, ukichoma ama kuharibu mali ya mtu, anayekuwa amekosewa/ ameumizwa ni huyo mwenye mali yake au huyo...
NUSURA YA CHADEMA ILIKUWA NI LISSU KUSHINDA TU.
Bashir Yakub, WAKILI.
+255714047241.
Isingekuwa rahisi kwa watu wa Lissu kuungana na Mbowe kama Mbowe angeshinda lakini ni rahisi kwa watu wa Mbowe kumuunga mkono Lissu, na huenda wameshamuunga mkono hadi sasa.
Lissu, Heche,Lema na watu wao...
HONGERA NCHIMBI RAIS AJAYE 2030.
Bashir Yakub, WAKILI
Asubuhi ya leo baada ya tafakuri ya usiku mzima wajumbe ndio sasa wanajua kuwa ule mkutano wala haukulenga kumpata makamu mwenyekiti Wassira, bali Makamu wa rais Nchimbi na kumpitisha Samia kwa ajili ya kipindi kingine.
Kwa sayansi hii...
Bashir Yakub, WAKILI.
+255 714 047 241 .
Tarehe 13/09/2024 Mahakama ya rufaa imeelekeza kuwa mtoto wa nje ya ndoa anatakiwa kupata urithi.
Imeelekeza kuwa urithi wake utakuwa sawa kabisa na watoto wengine ambao wamezaliwa kwenye ndoa. Hakutakuwa na tofauti katika mgao(share).
Imesema jambo la...
TUNAKUSHUKURU WAMBURA, LAKINI UPELELEZI/UCHUNGUZI URUDIWE.
Bashir Yakub, WAKILI
+255714047241.
Sina utaratibu wa kutoa pongezi kwa mtu anayetekeleza majukumu yake lakini IGP Wambura nikupongeze walau kwa hatua za haraka ulizomchukulia RPC wa Dodoma kwa kauli yake ya hovyo na ya shibe...
SHERIA INAKATAZA KUOA AU KUOLEWA NA X WA BABA AU MAMA YAKO.
Bashir Yakub,WAKILI
+255714047241.
Kifungu cha 14 Sheria ya Ndoa kinakataza kumuoa au kuolewa na mtu yeyote aliyewahi kuwa mke au mme wa baba yako au mama yako. Na hii ni hata kama walishaachana miaka mingi sana.
Jambo hili ni kosa...
MSIANDIKE MIKATABA YA UNUNUZI WA NYUMBA/ VIWANJA MAHAKAMANI, MAHAKIMU HAWARUHUSIWI KUFANYA HIVYO.
Bashir Yakub, WAKILI
+255 714 047 241.
Nawaonya tena katika hili msiingie mkenge. Msiandike mikataba yenu ya ununuzi wa nyumba/ viwanja Mahakamani kwani inakatazwa.
Huwa mnaamini kwamba ukinunua...
Bashir Yakub, WAKILI.
+255 714 047 241.
1. Pengine utasema ni kahaba kwasababu kavaa nguo fupi sana dizaini ya chupi au nyinginezo.
Lakini hii sio ushahidi wa mtu kuwa kahaba. Tanzania hatuna Sheria inayoelekeza(regulate) mavazi. Mtu anaweza kuvaa vyovyote vile. Na pia hakuna mavazi mtu akivaa...
Bashir Yakub, WAKILI.
+255 714 047 241.
Swali la msingi ni kuwa hawa wanaokopesha wanapata wapi namba za ndugu zako, jamaa, na marafiki ambazo wanazitumia ujumbe kuwataarifu kuwa unadaiwa, umeshindwa kulipa mkopo,na maneno mengine yasiyo na staha.
Fikiria mkopeshaji ambaye si tu hajawahi hata...
KULAWITI.
Bashir Yakub, WAKILI
+255 714 047 241.
1. ADHABU YAKE.
Kifungu cha 154 Kanuni za Adhabu, Sura ya 16, Adhabu ya kulawiti ni Kifungo cha Maisha jela, au miaka isiyopungua 30 jela.
Kujaribu(attempt) kulawiti adhabu yake ni kifungo kisichopungua miaka 20.
2. USHAHIDI WAKE.
MOSI...
ASKARI POLISI NA DAS WAAMRIWA KUMLIPA RAIA MILIONI 10 KWA KUMUWEKA NDANI BILA KOSA.
Bashir Yakub, WAKILI.
+255 714 047 241.
Mahakama kuu Kanda ya Manyara imeamuru askari polisi(OC-CID) na DAS wa wilaya ya Babati kumlipa bwana Lawrence Sulumbu Tara kiasi cha Shilingi Milioni 10 kwa kosa na...
Mwanaume hawezi kubakwa anayebakwa ni Mwanamke tu. Ni maneno ya tarehe 10/11/2023 ya Mahakama ya rufaa chini ya Majaji watatu.
Ni katika Jinai No.369/2020 Kati ya Jack Mahembega Dhidi ya Jamhuri wakati ikifafanua Kifungu cha 130, Sura ya 16, Kanuni za Adhabu RE 2022.
Mahakama imefafanua...
Bashir Yakub, WAKILI
+255 714 047 241.
Hakutembelea Makumbusho ya Vita ya Majamaji bali alitembelea makumbusho ya Uhalifu wa Kikoloni.
Hivi ndivyo inavyoitwa duniani, ni uhalifu wa Kikoloni "Colonial Crimes'. Na hivihivi tumwambie mgeni wetu Rais wa Shirikisho la Ujerumani kuwa hayo ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.