Recent content by bashara

  1. B

    Rais Magufuli amkingia kifua Paul Makonda. Asema yeye ndie anapanga nani akae wapi!

    kuna jambo lipo. huwezi kumkingia mtu kifua kama hakuna maslahi.
  2. B

    Rais Magufuli amkingia kifua Paul Makonda. Asema yeye ndie anapanga nani akae wapi!

    hvi kati ya mkuu wa mkoa na waziri ni nani mwenye mamlaka makubwa sana
  3. B

    Rais Magufuli amkingia kifua Paul Makonda. Asema yeye ndie anapanga nani akae wapi!

    tunakoelekea sasa ni pabaya sana. kama raisi ana mkingia mhalifu kifua basi.
  4. B

    Jenerali Ulimwengu ashauri Makonda ashitakiwe kwa kuvamia kituo cha Clouds

    RC makonda amefanya uvamizi mkubwa mno na mnyanganyi. amechukua clip kwa nguvu bila kuomba kwa flash yake. hii siyo unyanganyi na uvamizi? acheni ujinga nyie
  5. B

    Mkurugenzi wa vipindi Clouds, Ruge Mutahaba alaani RC Makonda kuvamia ofisi zao

    wana jf habari za asubuhi. nilikuwa nje ya mtandao kwa mda mrefu. nimesoma mambo cloud ilivyovamiwa na mh. bashite na pia leo ndo nasikia mambo ya shirawadu hiki kipindi siijui ni kipindi gani. ila nasema kuwa safari hii yamemkuta. mbio za sakafuni huishia ukingoni
  6. B

    Kujenga barabara kwa viwango duni kisha kunafanyiwa ukarabati kila mara ni kuchezea kodi zetu

    jamani msichezea kodi zetu mameneja wa TANROAD mnatukera sana kwa hili
  7. B

    UKARABATI WA BARABARA KUTIKA KATESH KWENDA HYDOM

    habari za humu wana jf.Nilikuwa na pita kwa gari kutoka hydom kwenda katesh. niliwauliza raia wa eneo wanalokarabati wa SMCS wanasema kampuni inayokarabati barabara hiyo ni kampuni ya elerai ambao ndo walioshika contract ya ukarabati huu. kabla ya kufika katesh eneo wanalosema njia panda ya...
  8. B

    DODOMA: Bashe, Malima na Musukuma mbaroni wakidaiwa kupanga kuhujumu vikao vya CCM

    sina mudi ya kusoma huo upuuzi wanaoufanya ccm mwenyekiti hapingwi? maajabu!!!! kwani ye mungu jamaaniiiiiii
  9. B

    EFM yapewa ruksa ya kuruka mikoa 10 ya Tanzania, Nape amsifu Majay. Hofu yatanda Clouds Media Group

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye ameiomba Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kutovichukulia hatua vyombo vya habari mara kwa mara na badala yake vinapokosea wavirejeshe katika mstari sahihi kwa upendo. Kwa ufupi Nape ametoa ombi hilo leo wakati wa uzinduzi wa...
  10. B

    Hukumu Kesi ya Kikatiba ya Jamii Media: Mahakama yakiri Sheria Makosa ya Mitandao inahitaji kanuni

    jamani mpaka sahizi wapo mahakamni.... tupeni mrejesho
  11. B

    Hukumu Kesi ya Kikatiba ya Jamii Media: Mahakama yakiri Sheria Makosa ya Mitandao inahitaji kanuni

    nasubiri kutoka mahakamani kuwa jf imeshinda kesi... mungu tuokoe siwanadam wakkko kuna mtu amesema ye ni msemaji kuliko wew uliyejuu
  12. B

    Tundu Lissu: Mimi ni mgombea pekee ninayeweza kutetea maslahi ya mawakili

    jamani ebu serikali kaeni pembeni angalieni mechi inavyochezwa.swala la waziria wa sheria na katiba kuingilia tamaduni za watu ambaapo hakukaribishwa aache ..haimhusu yeye asubiri tu atakayechaguliwa
  13. B

    Mafuriko Dar: Watu kadhaa wamekwama kwenye maji Jangwani, wengine wapoteza maisha

    uchange ya nini na kati walipewa viwanja wakayauza si unajitakia matatizo mwenyewe. walitakiwa wapelekwe mahakamani kwa kosa la kutaka kujiua
  14. B

    Mafuriko Dar: Watu kadhaa wamekwama kwenye maji Jangwani, wengine wapoteza maisha

    hawa watu waliondolewa miaka kadhaa iliyopita wakapewa viwanja sasa hao ambao wamekumbwa na mafuriko kwenye hilo eneo wametoka wapi. jamani mwafaaaa
Back
Top Bottom