Mimi nasubiri Court of appeal!Napiga picha nyuso zilivyowashuka wakoloni weusi
Mimi nasubiri Court of appeal!Napiga picha nyuso zilivyowashuka wakoloni weusi
Hazifanyi kazi kwa weledi!!AG na DPP wameshaonywa na mahakama,kuna nin kwa hizi taasisi za serikali????
Semina elekezi ni muhimu sana! Ukiondoa wakongwe wote ghafla,ukaona vijana ndo nguvu mpya na kila kitu,mhh hatari! Tena afadhali Mahakama kwingine hali so shwari. Jambo dogo la kumaliza Wilayani simu zitapigwa kila kona huko juu kuomba ushauri!Hazifanyi kazi kwa weledi!!
Wanapigana kufa kupona asiingie huko!!Hawa dawa yao ni Tundu LISU kuwa Rais wa TLS ndipo atawapa kisago
Nikusahihishe. Hawa watu hawazidi wawili. Ni mtu na mwanae tu!Sidhani kama kuna jipya!
Tunasigina Uhuru wa Mahakama na Mamlaka ya Bunge kwa Ajiri ya Watu wasiozidi hata kumi!
Hata JF itashinda,figisu zitaendelea tu!
AG na DPP wameshaonywa na mahakama,kuna nin kwa hizi taasisi za serikali????
Mahakama inawaonya AG na DPP kwa misingi ipi?
Wao mahakama ndio wame rubber stamp kila anachotaka DPP. Kosa sio la DPP.
Kwa sababu, labda ngoja nitoe elimu kwa umma hapa, ever so briefly.
Mfumo wa sheria wa Tanzania ni adversarial judicial system. Pande mbili zinazokutana mahakamani zinapingana kwa nguvu zote, hakuna kuchekeana wala huruma, ubaya ubaya!
DPP na state attorneys wake wamekula kiapo cha kitaaluma na cha kiajira cha kutetea na kupigania interest za Jamhuri mbele ya mahakama kwa nguvu zao zote, akili zao zote, jasho, mbinu, hila, sarakasi, technicalities, na kila aina na namna ya figisu inayokubalika kisheria kutafuta ushindi. Ukishindwa jukumu hilo una makosa yanayoitwa incompetent representation of counsel.
Sasa ni jukumu la Mahakama kukwamisha hila ya wakili wa Jamhuri ambayo haikubaliki kisheria.
Kwenye kesi ya Lema, kwa mfano, hakimu alitia rubber stamp, alikubali taarifa ya mdomo ya Jamhuri ya kunuia kukata rufaa ya dhamana. Akamsweka Lema ndani wakisubiri shauri. Siku ya shauri la dhamana Jamhuri ikaondoa kesi asubuhi! Lema kashakaa ndani miezi! Jaji akatoa machozi!
Such a brilliant, shrewd, legal maneuvre by he state attorney which takes advantage of the inept magistrate along with the gaping loopholes in the criminal procedure laws. Sio kosa la DPP.
Jaji unalalamika nini? Kwani DPP ndio alimsweka Lema ndani?
DPP hatakiwi kumuonea mtu huruma! Mahakama ndio inatakiwa ku apply sheria! Jaji alitakiwa kum lambast hakimu aliyemkubalia DPP kila anachoomba.
Halafu sasa kibaya zaidi, Freeman Mbowe, leader of the opposition akaenda mbele ya microphone kuitangazia dunia kwamba upinzani tulikuwa tunadhani kimakosa kwamba mahakama is compromised.
Badala ya kusema karipio la jaji limedhihirisha kwamba Mahakama was compromised Mbowe essentially anasema tulikuwa tunakosea kuilaumu mahakama. Amerudisha nyuma miaka na miaka ya juhudi na vilio vya upinzani kwamba the judiciary is a rubber stamp of the government.
Sasa ni jukumu la Mahakama kukwamisha hila ya wakili wa Jamhuri ambayo haikubaliki kisheria.DPP na state attorneys wake wamekula kiapo cha kitaaluma na cha kiajira cha kutetea na kupigania interest za Jamhuri mbele ya mahakama kwa nguvu zao zote, akili zao zote, jasho, mbinu, hila, sarakasi, technicalities, na kila aina na namna ya figisu inayokubalika kisheria kutafuta ushindi. Ukishindwa jukumu hilo una makosa yanayoitwa incompetent representation of counsel.
Kwenye kesi ya Lema, kwa mfano, hakimu alitia rubber stamp, alikubali taarifa ya mdomo ya Jamhuri ya kunuia kukata rufaa ya dhamana. Akamsweka Lema ndani wakisubiri shauri. Siku ya shauri la dhamana Jamhuri ikaondoa kesi asubuhi! Lema kashakaa ndani miezi! Jaji akatoa machozi!
Such a brilliant, shrewd, legal maneuvre by he state attorney which takes advantage of the inept magistrate along with the gaping loopholes in the criminal procedure laws. Sio kosa la DPP