Hukumu ya Kesi ya Jamii Media dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kusomwa Machi 8

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,410
Tarehe 8 Mwezi wa 3 itakuwa ni siku kubwa kwani ile Hukumu iliyoshindikana kusomwa hapo tarehe 22 mwezi huu itasomwa siku ya Machi 8 mbele ya Mtukufu Jaji Kitusi.

Hukumu ya kesi huii iliyofumguliwa dhidi ya Mwanasheria mkuu wa Serikali na Jeshi la Polisi itatoa mwanaga wa nini kitajiri katika uwanja wa Uhuru wa Habari na Uhuru wa Kujieleza nchini.
 
Back
Top Bottom