Recent content by Basham

  1. Basham

    Mambo Ya Kuzingatia Kabla ya Kuanza Ujenzi

    Na fire vipi mana wanasumbua sanaa siku izii
  2. Basham

    Luhaga Mpina: Waziri Mwigulu Nchemba anahusika na ufisadi wa trilioni 1.7 mradi wa SGR

    Kuna Mmoja alipiga 1.5 trillion na bado hatunae tenaa Duniani
  3. Basham

    Tunaomba jina la kiongozi wa Simba SC aliyeshawishi usajili wa Sawadogo atupe maelezo

    Dewji si alilalamika majuzi hapa anapigwa kwenye usajili na kuna watu wanafanya makusudi ili afeli
  4. Basham

    Tujuzane kuhusu mitandao ya simu nchini

    Tigo Business and Airtel Business Bundles try them. 3k 1.5Gb 5k 3.5Gb 10k 7.5 Gb for a week
  5. Basham

    Je, hii ni sababu ya Jane Nyamsenda kutenguliwa Ukuu wa Wilaya?

    Mie binafsi sioni tatizo kama lengo lilokua ni kuonesha wanawake wanaweza. It's creativity
  6. Basham

    Je, ni ustaarabu ukiwa kwenye Daladala na una simu ya Tsh Milioni 1 na Laki 7 kisha kudai kwa kelele chenji ya Tsh 100 kwa kondakta?

    Ushawahi kwenda dukani kwa Mhindi ukapeleza sh 50 akakuuzia unachotakaa. Jibu ukilipata utakua unaelewa umuhimu wa hyo 100
  7. Basham

    Deni la Serikali hadi Januari 2023 ni Trilioni 76

    Umeongea points sanaa ila watu hawaoni kazi kulaumuu tuu. Chukulia mfano kwako tuu kuendesha familia sometimes unatingwa inabidi uende kukopa kwa jamaa ako. Miradi ni mingi sanaa kwa wakati mmoja na pressure ya kuimaliza ni kubwa sanaa hasa kutoka kwa wananchi wanahoji sanaa kuhusu miradi yao...
  8. Basham

    Deni la Serikali hadi Januari 2023 ni Trilioni 76

    Kila Mtanzaniaa anadaiwa 1.2M ila kiuchumi bado deni ni himilivu pato ghafi la kila Mtanzaniaa ni 2.3M ukitoa hyo 1.2M ya deni unabakiwa na 1.1M ndio maana Mwigulu anajitapa kila siku nchi inakopeshekaa
  9. Basham

    Kukata cheni ya kizazi cha umaskini

    Huyu jamaa mbona ana nondo ivoo. Naomba kujua ndio life style lake au anafanya ekitini, Je yuko mentally fit
  10. Basham

    Kwa wenye Uzoefu na Biashara ya Vituo vya Mafuta [Fuel Stations]

    Kitu kinachongeza gharama kwenye petrol station ni mahengo ya ziada na kiwanja otherwise ukiwa na 100M unajenga vizuri tuu
  11. Basham

    Kwa wenye Uzoefu na Biashara ya Vituo vya Mafuta [Fuel Stations]

    Check jamaa flani ivii Insta wanajiita Energy Africa wanafanya consultation na kujenga vituo vya mafuta na wanatoa ufafanunuzi mzurii tuu
  12. Basham

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Nahitaji Business plan anyone experienced to help me
Back
Top Bottom