Recent content by basha unguja

  1. B

    JamiiForums Tanzania Mtaani kwetu tunaheshimiana sana

    yaani unaweza ukadhani hadithi ndiyo maana na mm nipo kwenye kustaajabu as if watu hawa ni tofauti na wale wa kwanza kumbe ni wale wale
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mtaani kwetu tunaheshimiana sana

    Wasaaaalam, Yapita miaka miwili kama na nusu hivi nilipokuwa na kigenge pale uswazi kwetu, sasa kwa kuwa mtaji wangu ulikuwa mdogo hivyo genge langu halikuwa limenona kiviiiile, jambo ambalo wateja wangu walikuwa wakija wananidhihaki saaana, wengine hasa wadada wa kitaa wakipita wakawa...
  3. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anatamani arudishiwe hela zake

    yaani bora umeuliza manake, ungekuwa umesema, ningekutumia skadi huko huko uliko manake umekuja pazuri kwelikweli maji bahari yapo kupwa kwa sasa ......na machanga naona waenda mara kusi mara kule sasa palikuwa pazuri ili uwasimulie na wenzako, sema uzuri umeuliza , mimi siyo shoga ndugu yangu...
  4. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bora kubaki njia kuu

    Wasalamu! Hahahah, jamani hii dunia haiishagi vituko asee, jana katika pita pita zangu nimekuta sehemu kunazogo kinoma, kama mujuavyo kwenye zogo hapakosagi mashilawadu, mashilawadu wakawa wanafunguka eti, kuna jamaa anakamchepuko kake ambaye ni baamedi sasa issue iko hivi, huyo madada ni...
  5. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anatamani arudishiwe hela zake

    umeona ehee, yakhe! alikosea mnooo
  6. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anatamani arudishiwe hela zake

  7. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anatamani arudishiwe hela zake

    yakhe! ni hatari ati, ningekuwa mie mbona ningekuwa nishaitungua helikopta kitambo ati na RPG yangu
  8. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anatamani arudishiwe hela zake

    Yaani jamaa sijui alikuwa na akili mgando kiasi gani mwisho wa siku kajikuta kamuhudumia dume mwenzake hahaha
  9. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anatamani arudishiwe hela zake

    YAKHEEE! SWALAMAAAA? MIE NIKO POA ATI! HAHAHAHA
  10. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anatamani arudishiwe hela zake

    Wasaaalamu, Kuna best alikuwa anatupa story! Kuna jamaa alikuwa amekutana na msichana mmoja mrembo sana chuoni kwao alipokuwa akisoma jamaa alikuwa mwaka wa pili na yule binti alikuwa mwaka wa kwanza , kutokana na uzuri wa yule binti mshkaji akaona ajikombekombe kwa yule demu ili kama vipi...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Rambo kulikoni kelele zote hizo......????

    Nawasalimu waungwana! Poleni sana na mihangaiko ya siku nzima! Tulio wengi itakuwa tunakumbuka vizuri baada ya kuangalia movie za kikomando kwenye vibanda vya kuangalia video, kama tuliowengi wetu tuliopitia mambo haya tutakuwa tunaelewa vizuri sana kwa wale wakishua kidogo wanaweza...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya 'GERANIMO' kwenye front page za magazeti..

    Kaka umefafanua vzr sana kiasi kwamba kwa mtu muelewa atakuwa amekuelewa, au siku nyingine katikati ya story weka majina ya kibantu ili uwakamate vzr like, mparata/chindikupwi sniper hahahaha hapa utawakata utamu manake watu itabidi tuulize/tuhoji huyo mparata/chindikupwi alikuwa na uraia gani...
  13. B

    JamiiForums Tanzania ARE YOU A NEW COMER........

    :D:D:D:D:D
  14. B

    JamiiForums Tanzania ARE YOU A NEW COMER........

    Wanajamvi za mida! Poleni na uchovu wa siku nzima........ Nikiwa form two katika shule moja hv jina kapuni , mzee alijitahidi kufight ili awekeze kwa mwanae(mimi), akafaikiwa kupata fungu(pesa) ya kunipeleka shule zetu zileee za private alimaarufu watamu ke lugha. Siku ilipowadia niliwaaga...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Geranimo E.K.I.A: Kutoka Makao Makuu ya CIA Langley, Oparesheni Ya Kukamatwa Osama Bin Laden

    yakhe na mie uwe unanitag walah vile.......kushukuru kwa uhondo bahashishi ntuvula yakhe! story tamu mnoo
Back
Top Bottom