Anatamani arudishiwe hela zake

Anatamani arudishiwe hela zake

Hivi kumbe ile misaada mnayotupa huwa mawazo yenu ni mwisho wa siku mtugegede, acheni hizo jamani.
Hakuna pesa ya bure... Labda kwa dada zangu na ndugu wengine.. The rest target ni kugegeda tu!!
 
Hahahahaha eti direction ya jua ime change daaaaah
 
wasaaalamu!

kuna best alikuwa anatupa story!

Kuna jamaa alikuwa amekutana na msichana mmoja mrembo sana chuoni kwao alipokuwa akisoma jamaa alikuwa mwaka wa pili na yule binti alikuwa mwaka wa kwanza , kutokana na uzuri wa yule binti mshkaji akaona ajikombekombe kwa yule demu ili kama vipi mshkaji akamatie fursa. Mshkaji pamoja na kukutana na mrembo siku zote hakuwahi kumwambia dhamira yake ila kutokana na maisha waliyokuwa wakiishi aliamini ataingia king muda wowote ule coz walikuwa na tabia ya kutembeleana geto, kula pamoja na kutoa out pamoja.

Kutokana na matukio hayo mshkaji akajipa uhakika wa asilimia mia kuwa yule ni kuku wake tu!
Kutokana na ukaribu wao hadi marafiki zao walikuwa wakiwatania mtu na mchumba ake, na kutokana na uzuri wa yule binti , yaaaani mshkaji akisikia hivyo anajihisi kama vile anatembea angani katika zero gravitation, hata miondoko alikuwa akitembea as if yeye ndiye mmiliki halali wa yule binti.

Siku moja yule binti hakuwa na furaha kiasi cha yule mshkaji kumuuliza kulikoni mrembo mbona hivyo? yule binti kwa upolee akajibu, "yaani we acha tu, ninashida hapa kama ya laki hivi" Jamaa kwa kujitutumua akijua anawekeza akampa mrembo laki na nusu huku akimsihi kama akiwa na shida asisite kumwambia....Kiukweli yule mdada alifurahi mno, akamshukuru yule kaka kisha akasepa zake.

Kesho yake mshkaji akakutana na yule mrembo akiwa na furaha tele, bila kujali mshkaji akamwambia naona leo unafuraha kweli kweli bila shaka tatizo lako liko solved? Yule Binti akafunguka, yaani huwezi kuamini ile hela uliyonipa haijanisaidia peke yangu, Mpenzi wangu alikwama hela ya kujikimu hivyo aliponiambia ile hali ilikosesha sana raha, hivyo uliponipatia zile pesa nikatumia zoote na hivyo hakuamini hata kidogo, huku yule mrembo akitoa simu yake na kumuonyesha mshkaji sms alizotumiwa na mpenzi wake hali, jinsi alivyoshukuru

Mshkaji alihisi kama, jua limebadili direction ya kuchomoza na kuzama, kama jua lina chomoza kaskazini na kuzama kusini vileeee, gafla tumbo lake lilivurugika na alihisi kama homa kali saaaana na aliondoka bila kumuaga yule mrembo! Yule mrembo asielewe nini kinaendelea akabaki na butwaaa....
Mshkaji unaambiwa kutokana na mawazo yale alipata hadi vidonda vya tumbo.....ILA ANATAMANI HADI LEO ZILE PESA ZAKE ARUDISHIWE TU, Roho inamuuma sanaa......

NB: TENDA WEMA NENDA ZAKO , KUTOA NI MOYO NA SI UTAJIRI , SEMA YA MOYONI ILI MOYO UWE HURU, CHUNGA CHA KUONGEA!
Tatizo jamaa amesaidia kidogo kwa Matarajio makubwa, Laki na nusu nayo ni hela mpaka arudishiwe!!?? Ndo akome u domo Zege, watu wana watu wao Tangu zamani yeye aendelee kulisha tu na mwanaume mwenzie akiishiwa awe anamuinua, wanaume hawanaga roho mbaya Mbele ya kiungio cha binti
 
uboya huo demu hujui kama ana mtu uko nae muda wote af unangaa macho...acha atume kwa dume lake tu hizo hela zako
 
Thats Why I Aint Friends With Any Bih. She Be Comin To You Complainin About The Nigga Dickin Her Down. Then She Be Comin Lookin For Help Only For You To Find Out You Helped The Nigga Either Ditectly Or Indirectly,Who Wants That?No Me Neither. Unless Im Dickin You Down,We Aint Friends.
 
Mwambie huyo jamaa yako arejee wimbo wa Baba Zoro.
 
we ni shoga au.?????
yaani bora umeuliza manake, ungekuwa umesema, ningekutumia skadi huko huko uliko manake umekuja pazuri kwelikweli maji bahari yapo kupwa kwa sasa ......na machanga naona waenda mara kusi mara kule sasa palikuwa pazuri ili uwasimulie na wenzako, sema uzuri umeuliza , mimi siyo shoga ndugu yangu! ila siku nyingine angalia vya kuuliza vitakutokea puani...Sawa yakhe?
 
Huyo jamaa boya kanifanya nione aibu japo sio yangu
 
Back
Top Bottom