Recent content by basebo

  1. B

    Mahakama ya Kisutu yafuta shtaka la kutakatisha fedha dhidi ya aliyekuwa bosi wa TRA, Harry Kitilya

    Nilijua ni maigizo tu haya. Namshauri mr pombe apambane katiba ya warioba irudishwe ndio itakua kinga yake wakati wa utumbuzi wa majipu makubwa tu, vinginevyo wala asijaribu
  2. B

    Jakaya Kikwete akijadili namna ya kuboresha elimu ya dunia

    Hapa tanzania watoto wanakaa chini, wanakunya maporini, walimu hawana nyumba, mishahara mibovu, amekua madarakani hajawah kujaribu hata kuongelea leo anaenda kutatua ya dunia? Kweli vichaa ni watu. Anatafuta coverage kufunika anayoyasema pombe kulikua na mambo ya hovyo, hovyo kweli kweli...
  3. B

    CAG mstaafu ashangaa kesi ya Idd Simba ya fedha za UDA kufutwa

    Kuna watubwalidhani wana hati miliki ya hii nchi, namuombea magufuli aliejitoa sadaka kwa kuwashughulikia. Ikibainika hata huyo kikwete kama alihusika na afungwe. Tutabadili katiba kwa dharura
  4. B

    Rais Magufuli akielekea Chato atua Mwanza na kutoa maagizo

    Kijana wangu wa abayita ababiri upo?
  5. B

    Waziri Lukuvi: Kitengo cha huduma kwa wateja cha Wizara ya Ardhi, sasa Kufanya kazi hadi Usiku

    Hiki kitengo cha ardhi ni janga kuu, mm nimefuatilia hati mwaka mzima jamani, na kiwanja hakina tatizo lolote had ninapoongea nimetoka leo pale wizarani na sijapata
  6. B

    Nataka kubadili dini naogopa wazazi wangu

    Ha ha haaaaa yn nimecheka sana
  7. B

    CRDB Mbezi Beach huduma zao ni mbovu mbovu sijapata kuona

    Naona kimei kachoka na team yake. Ni almost branch zote huduma hovyo. mm nipo mbioni kuihama moja kwa moja teller mnajenga sita mnaweka wahudumu wawili ili iweje?
  8. B

    Zijue sababu za CHADEMA kumtumia Reginald Mengi kumdhoofisha Zitto Kabwe kisiasa

    Hii sheria isigniwe tuu. Mtu kama huyu aliepost huu uzi ndio walengwa wa hii sheria ya mtandao
  9. B

    Kashfa Nyingine nne nzito Zinakuja

    kikwete alishasema mumuache mkapa apumzike jamani. ha haaaaa Dar es Salaam.[/SIZE][/FONT][/B] Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Kabwe Zitto amesema baada ya kukamilisha shughuli ya ufisadi wa Akaunti ya Tegeta Escrow ambayo Sh306 bilioni zilichotwa, kamati yake sasa...
  10. B

    Habari na Picha: Mapokezi na ulinzi wa Rais Kikwete nchini china, akutana na mabalozi wa Afrika.

    Kwa speed yao ya kupora raslimali zetu lazima wampe kila aina ya sifa na kumpokea kama hivyo. Eti uprofesa! Dah! N way sitii neno
  11. B

    JWTZ itoe tamko juu ya Diamond na Ney wa Mitego Kuvaa Sare za jeshi

    Tanzania hakuna sheria wala msitegemee lolote lile. Huyu alitafuta umaarufu na kaupata, hl jeshi lenyewe lishakua la siasa tuu Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
  12. B

    Namkataa Paul Makonda, sijamtuma Bungeni

    Ccm watambue wanachofanya ndio kujiandalia kifo, KANU did the same na waliumbuka kura ya maoni ndio ikawa safari yao, kuondoa tunu za taifa ni kwa malengo ya nani? Ili waendelee kuiba, leo madaraka ya rais analala akiamka anateua hata mkwewe kua mkuu wa mkoa huo ujinga mwisho. Mikataba yote iwe...
Back
Top Bottom