Kwa hiyo baada ya kupiga ndio unaona ni wakati WA amani. Kwann usiitafute kabla ya kujeruhi.
Lkn hii vita ya Israel na Iran ni vita ambayo imejaa
1. Propaganda sana
2. Technology
3. Ushawishi
4. Intelligence ya Hali ya juu
Nimesoma comment za watu waliotsngulia kwa kiasi kikubwa wameishia kukatisha tamaa tu. Lkn wewe umekuja na mtazamo wa fikra yangu. Kwamaana naamn Kila sehem Kuna fursa.
Kwa upande wangu:
Marekani hawezi kutoa tahadhari pasi na kujilizisha na hali ya mahala hapo kama SI shwali kwako au kwa watu wengi. Hata ukiangaazia Africa kwa ujumla wake. Marekani amekuwa akitoa tahadhari hata kuhamisha watu wake kutoka eneo la hatari hata kabla ya tukio jenyewe. Lkn pia...
Habari wakuu Kuna hii habari ya serikali inataka kuja na jamii namba. Sasa wakati naangalia UTV habari kwenye maelezo ya hiyo jamii namba umeme ulikata kwahiyo sikuielewa. Na hapa nimekuja kuona kama Kuna mtu kaiandika labda lkn naona hola. So naomba kama Kuna mtu anamaelezo yake anishushie...
Simple chukua form ya likizo jaza Kila kitu utakione humo Kisha ambatanisha cheti Cha ndoa na andika dokezo la kuomba kiasi hicho Cha nauli Cha kwenda na kurudi kwa nauli za latra. Au kama vinasumbua mfuate afisa utumishi.
Boda boda umewadharau sana kwa andiko hili. Lkn hebu nenda kwenye uhalisia kwa boda boda ambaye anajijali na kupenda kazi yake. Ambaye ana pikipiki ya mkataba analipa TSH 10,000 kwa siku na hapo anaweka mafuta anakula na anafanya maintenance ya chombo. Je unahisi anaingiza kiasi gani hapo...
Naamini chama Cha siasa kinahitaji watu Ili kiwe chama imara na kiweze kutimiza lengo namba Moja la kuchukua uongozi katika jamii husika.
CCM na chadema ni vyama ambavyo vimejijenga katika mitazamo miwili tofauti na hii ndio inafanya tuone mhemko wa kisisiasa uliopo Leo. CCM inaamini katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.