Recent content by BasALT

  1. BasALT

    JamiiForums Tanzania Akili za Maisha na Akili za Darasani

    Well said mkuu. Maisha ni chochote unachokifanya na akili ya maisha ni chochote unachokifikilia kwa Lengo lolote.itakuwa nzur kama itakupa matokeo chanya na kinyume chake ni sahihi...kama shule sio part ya maisha basi itakuwa na akili yake..#Nguvu ya Elimu inaonekana pale Elimu inapotumika.
  2. BasALT

    JamiiForums Tanzania Kahama, Shinyanga: Acacia Buzwagi wameanza maandalizi ya kufunga mgodi kwa kuaga wananchi

    Watabaki wale wa mineral processing.. Na baadhi ya Geologists kwa ajili blending issues.. Wengine nahisi watafute chaka lingine especially Miners
  3. BasALT

    JamiiForums Tanzania Kahama, Shinyanga: Acacia Buzwagi wameanza maandalizi ya kufunga mgodi kwa kuaga wananchi

    Mining activities zina isha mwaka huu but processing activities mpaka 2020.. No harm 2020.
  4. BasALT

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi unayejielewa unaanzaje kupata supplementary?

    Supplementary zipo kisheria. Watu wanamoduli 13..supp 2 anashukuru.
  5. BasALT

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ipi sahihi? "What a hell" au "What the hell"

    "The" ipo sahihi kutokana na neno "hell" ambalo ni unique.. Ila kwenye kuliimba "a" inaleta tune nzuri...Muhimu ni ujumbe. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom