Recent content by Bartony

  1. Bartony

    Matapeli mtandaoni! Soma hapa na ww usije ukaingia mkenge...

    me niliambiwa zipo standard chartered london branch, nikawacliana na standard chartered wa ukweli wakasema hakuna wafanyakazi wenye majina kama waliyonipa wale wadada...nikampotezea fasta, kwanza akupe tu hela zote hzo na hakujui? hata kichaa hatoi.
  2. Bartony

    sababu za wanawake kuvaa surwali za kubana, taiti why???

    kama joto wangevaa nguo pana ili hewa iweze kuingia na kutoka na co nguo ya kubana....au wenzetu wakiunyima mwili hewa ya kutosha ndio joto hupungua
  3. Bartony

    sababu za wanawake kuvaa surwali za kubana, taiti why???

    kama joto wangevaa nguo pana ili hewa iweze kuingia na kutoka na co nguo ya kubana....au wenzetu wakiunyima mwili hewa ya kutosha ndio joto hupungua
  4. Bartony

    Question for the ladies... Bank A/C or Bed?

    dada acha mawazo mgando hayo.dunia ya leo co kuendelea kumtegemea mwaume..pigana upate chako na heshima itakuwepo kuburuzwa utakuckia tu kwa watu ila kwa mawazo bora awe na hela cz hutakula sura means we unategemea uletewe hahaha utajikuta jamvi la wageni cz watakuona kama huna future vle. ni...
  5. Bartony

    Kwa nini nilipie?

    jiamini kaka ama unachukua wake za watu?
  6. Bartony

    Yupo kwenye wakati mgumu sana namuonea huruma ila ndo hivyo sina jinsi

    usije kumsingizia shetani kuwa kakupitia.
  7. Bartony

    Amtangaza vibaya baada ya kulipia chumba gesti

    huyo mjaa ako na matatizo khaaah! Kazoea kuchunwa hahahaha...halafu watu kama hao wanajua kulalamika wapenzi wao hata maji hawanunui wakiwa out. Atalalamika hapo utadhani anakata roho! Duh kweli mzoea vya kunyonga vya kuchinja haezi.
  8. Bartony

    Wife kanikuta club nikiwa na demu

    kama kukosea ushakosea na ushahidi ako nao so we nenda ukubali kwamba umekosa, then omba msamaha, kisha badilika cz nxt tym hata kauaminifu katako salia katapotea...msamaha hauuwi ila unaonesha vle uko wamjali na wamthamini that yf of yoz!
  9. Bartony

    Ngono na Mapenzi ya Dhati

    inategemea na makubaliano na mcmamo wenu katika hayo mahusiano...hata hvo kuwahi co vizuri cz hujamjua vema huyo mwenza ako matokeo yake ndo utakuta kuna watoto wanaitwa wa bahati mbaya,mara wa ujana na hao kujaliwa ni vigumu! Wait had umtambue ukiachana na mimba, maradhi mengi.
  10. Bartony

    Nini kifanyike?

    kutoa ni moyo co utajiri...kama uwezo wa kukaa nae upo coni tabu hapo mumeo yuko na ubinafsi kitu ambacho c kizuri katika mahucano n ubinafsi unaeza vunja hata ndoa...kipato kidogo hajui kama kipato kikiongezeka na majukumu huongezeka so akingoja hela zwe nying hatasaidia ndugu.co msaidiaji huyo
  11. Bartony

    Ujinga

    ujinga ni kujikuna kichwani akati umevaa helment
  12. Bartony

    kipi bora hapa

    niko nasoma sana tu tena somo la kutafuta hela,mwalimu shida aka matatzo
  13. Bartony

    Kosa langu li-wapi?

    sijaona kosa hapo, nadhani yule mama aliwasimulia rafiki zake kuhusu uhusiano wako na familia ile sasa kilichotokea ni aidha rafiki zake walimwambia huyo atakuja kurith na mali au atakuja akuibie mumeo...kuhusu huyo binti nadhani aliona ugomvi kati ya mama na baba,mama akitaka uhusiano na...
  14. Bartony

    kipi bora hapa

    (a) kuwa na mahusiano kimapenzi na mtu sahihi katika kipindi kisicho sahii mf:shuleni (b) kuwa na mahusiano kimapenzi na mtu asie sahihi katika kipindi sahihi
  15. Bartony

    Maneno matamu ya Barua za Kale...

    hahahahaha! Khaa ''mwenye shingo ya pingili pingili''....kashakuwa muwa tena!
Back
Top Bottom