dagaa
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 290
- 382
- Thread starter
- #21
na kweli shosti, ila hata mimi plan ilikua amalize la saba nimpeleke boarding, ila atasoma tu uko uko bukoba make zipo tu shule nzuri, na tangia hapo anasoma shule nzuriPole shosti,usimlazimishe kama ukishaona majibu yenyewe ni hayo,mimi nimlea mjukuu wa shangazi yangu wazazi wake wote wamefariki lakini sikutaka ugomvi kukaa nae nimempeleka bording school anakuja wakati wa likizo yote sikutaka maneno na mume nimekubali kulipa hela nyingi lakini iwepo amani,sasa bora uachane na kumuliza hizo story,kwanza mtoto wa kike kama bibi yake yupo basi bora,mwenyezi mungu ameijua nia yako nini kwa huyo mtoto...