Namkumbuka Saba Sita alivyokuwa akitukimbiza na mbwa pale uwanja wa Sheikh Amri Abheid wakati wa mechi za mpira mf Ndovu na Aicc jamaa hakuwa na utani katika kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafadhali unaweza kutusaidia namna unavyoweza kusoma kwa speed, halafu yanakaa kichwani, wakati nafahamu fika una majukumu makubwa ya kisiasa na kitaifa.Maarifa haya yatasaidia wengine ambao tunasoma vitabu kumi kwa mwaka tuongeze bidii ya kuchuma maarifa zaidi.Pengine itasaidia kuelewa hata...
Moses Kulola alikuwa mtu wa Mungu kwelikweli nilihudhuria mikutano yake nikiwa kijana mdogo nilibarikiwa sana na hivi majuzi nilisoma kitabu chake(autobiography), kina historia ya pekee sana Mungu ajalie kanisa hili kusimama lisianguke
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenifurahisha sana rafiki yangu umeweka mada ambayo ndiyo kipenzi katika maisha yangu.Jambo hili la mindfulness nililifahamu vizuri baada ya kupata changamoto kubwa ya kitu kinachoitwa Generalized Anxiety disorder(GAD) Daktari mmoja pale Muhimbili alinisaidia sana anaitwa Dr Horgan alinipatia...
Unatakiwa zaka itoke kwenye gross na siyo katika net kama wanadamu wanapewa kutoka kwenye gross kwa maana ya kodi habari gani Mungu kupewa kwenye net? Naye Mungu wetu anapaswa kupewa kwenye gross maana ni Mkuu kuliko wanadamu
Hii ni hatari Watu wengi wanafikiri maombi ni badala ya wajibu.Hilo ni jambo lisilo la kweli.Abraham Lincoln raisi wa 16 Wa Marekani alisema hivi."I worked as if everything depended upon work And i prayed as if everyrhing depended upon prayer".Tafsiri yake ni kwamba Nilifanya kazi kama kila kitu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.