illegal migrant
JF-Expert Member
- Oct 18, 2013
- 1,277
- 1,121
koba naskia anakula sembe
koba naskia anakula sembe
Joakim kamili alifukuzwa kazi kwa tuhuma za kujimilikisha shamba akiwa tanga baadae akajiliwa na kampuni binafsi dodoma ndipo alifia huko kwa ajali ya barabarani
Thanks for Info. RIP Joakim!km sikosei joachim Kamili alifariki 2005 na kifo chake kilitokana na kuuwawa na wezi wa mafuta ktk kampuni ya konoike
Koba hali sembe bhanakoba naskia anakula sembe
Jina lake zuri kweli kweli aisee 7 6Saba sita yuko dar police sasa hivi ni afisa inspector wa police alipata promotion baada ya kuaandaa lile jeshi la kikoloni la police pale uwanja wa taifa Kikwete akafurahi sana akapandishwa cheo pia ni mtu wa kijituma sana kazini ni miongoni wa police wazalendo SABA SITA
Si ndio baba yake tunda mahoteli huyoJina lake zuri kweli kweli aisee 7 6
kumbe
Jama namba zake za polisi (force number) ni E 7676 kwahyo ndipo alipojipatia hyo nickname ya saba sitaJina lake zuri kweli kweli aisee 7 6
Alishahama Morogoro.Nasikia jamaa angepanda vyeo zamani sema Ilimu ndo ilikuwa tatizoSaba sita yuko dar police sasa hivi ni afisa inspector wa police alipata promotion baada ya kuaandaa lile jeshi la kikoloni la police pale uwanja wa taifa Kikwete akafurahi sana akapandishwa cheo pia ni mtu wa kijituma sana kazini ni miongoni wa police wazalendo SABA SITA
Joakim aliajiliwa KONOIKE kama mkuu wa kitengo cha usalama kwenye mradi wa barabara ya lami Dom-Manyoni.Joakim kamili alifukuzwa kazi kwa tuhuma za kujimilikisha shamba akiwa tanga baadae akaajiliwa na kampuni binafsi dodoma ndipo alifia huko kwa ajali ya barabarani