Recent content by Barranco

  1. Barranco

    The truth for youths about Forex business

    Moja ya maswali ambayo yanawatatiza watu wengi wakitaka kuanza kujifunza forex trading ni kuwa ajifunze kwa nani, na je kweli huyo mtu anayetaka kujifunza kwake amefanikiwa kwenye ambacho anataka kujifunza. Watu wamekuwa wengi sana mtandaoni wakijinadi kuwa wao ni trader na wamefanikiwa sana...
  2. Barranco

    Je, Forex, Crypto na utapeli mwingine wa uwekezaji hufanyaje kazi? Unapaswa kufanya nini ikiwa umetapeliwa?

    Moja ya maswali ambayo yanawatatiza watu wengi wakitaka kuanza kujifunza forex trading ni kuwa ajifunze kwa nani, na je kweli huyo mtu anayetaka kujifunza kwake amefanikiwa kwenye ambacho anataka kujifunza. Watu wamekuwa wengi sana mtandaoni wakijinadi kuwa wao ni trader na wamefanikiwa sana...
  3. Barranco

    Je! ni njia gani za kashfa za matapeli wa forex? Jifunze kuhusu njia hizi ulinde pesa zako.

    Moja ya maswali ambayo yanawatatiza watu wengi wakitaka kuanza kujifunza forex trading ni kuwa ajifunze kwa nani, na je kweli huyo mtu anayetaka kujifunza kwake amefanikiwa kwenye ambacho anataka kujifunza. Watu wamekuwa wengi sana mtandaoni wakijinadi kuwa wao ni trader na wamefanikiwa sana...
  4. Barranco

    Nina mtaji wa Tsh Milioni 20, nataka kufanya biashara ya ng'ombe

    Hakuna biashara rahisi hata kidogo nashangaa kuona watu wengi wakitoka negative sana kwenye hii biashara ila cha kushangaza kila siku ng'ombe zinachinjwa na nyama inalika. Kwani wao wanaofanya sio watu na swali la msingi nikujua jinsi yakupambana na changamoto hizo za biashara full stop. Muomba...
  5. Barranco

    Ni kosa gani ulilifanya kwenye ujenzi wa nyumba yako na usingependa wengine walirudie?

    Pole sana kaka,, ila kwa sasa hv nashauri kabla hujanunua kiwanja pia angalia ukubwa wa viwanja vya eneo husika, ukiona viwanja ni square mita ndogo mfano 400 jua kabisa ilo eneo makazi yake yatabanana tu, so ni bora kutafuta eneo lingine, tena kwa sasa hv makampuni yakuuza viwanja yalivyo mengi...
  6. Barranco

    Msaada: Biashara unayoweza kufanya kwa mtaji wa Tsh. Milioni 20

    Aloo Shukrani kaka kwa mawazo yako, yote nayaona mawazo bora hata kwa ambae anataka kufanya biashara ila chakuongezea ni kuwa biashara zote zonahitaji muda ni muhimu kwa biashara ambayo utaichagua ukaipa muda wakutosha ili kuona matokea bora
  7. Barranco

    Uwekezaji wa UTT liquid Fund faida yake mbona ni tofauti na uhalisia wanaousema

    Naona kitu pekee cha kujifunza hapa ni kuwa wao (UTT) wanavyoichukua hiyo pesa yako wanaenda kuiwekeza wp? mpaka wapo sure kukupa hiyo 1% kila mwezi. Then unaweza kuja na plan ya ww kwenda kuwekeza huko wanapoenda kuwekeza wao.
  8. Barranco

    Kuna mtu amekutana na issue yoyote ya malipo huko UTT?

    Kwema ndugu, naomba tuwasiliane tafadhali alfredmrisha@gmail.com
  9. Barranco

    Kilichonifanya niachane na forex ni hiki hapa

    Alafu huyu Imack ni mbongo kabisa hapa hapa TZ, so hapa inamaanisha kuna vitu anavijua na kwa ambae anapata loss havijui, watu wakae chini wajifunze kwa waliofanikiwa, sio kwenye forex tu but kwenye field yoyote ile ukijifunza kwa aliyefanikiwa na we chance yakutoboa ni kubwa sana. All the best
  10. Barranco

    Forex sio utapeli na ninajuta kuchelewa kuiamini

    Big up sana mkuu, keep it up
Back
Top Bottom