Recent content by baroot

  1. B

    JamiiForums Tanzania Magufuli UNATUDANGANYA, umesema utageuza Mwanza kuwa kama Geneva Switzerland?

    Duuuuu jAmaaaa muongoooooo
  2. B

    JamiiForums Tanzania Picha: Mama Regina Lowassa atikisa Mbeya Mjini

    Huyu mama anastahili kuwa first lady wa ukweli sio Maneno!
  3. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA badilisheni Mfumo wenu uendane na mgombea urais

    Kweli wewe hata KUSOMA mifumo haujui LOWASA yupo chini ya Mwamvuli wa UKAWA sasa UKAWA kuna mifumo ya vyama vinne. Jifunze kuwa SMART KICHWANI
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Lowassa anataka Urais kwa Nguvu, Gharama yoyote?

    Yaani Sisi hatukitaki chama cha CCM no matter what
  5. B

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha sana editing ya pampass

    NEC wanasema ni vionjo vya SIASA ila 25 coming will show them
  6. B

    JamiiForums Tanzania Sumaye haeleweki anachosimamia

    anasimamia miguu miwili jukwaani
  7. B

    JamiiForums Tanzania Special thread: Kampeni za mgombea Urais wa CHADEMA/UKAWA nchi nzima kuelekea 25 Oktoba, 2015

    Kumbe watoto wadogo acha UTANI na AKILI za watu wewe utafungwa kuleta habari za uzushi hapa
  8. B

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa ahadi za mgombea Urais kwa Tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Edward Lowassa

    Na kukataliwa na Wananchi pia ni janga la Taifa kaulize Mbeya kilichomkuta Magugufanga.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Special thread: Kampeni za mgombea Urais wa CHADEMA/UKAWA nchi nzima kuelekea 25 Oktoba, 2015

    Mbona Tunajua siku nyingi kuwa anaumwa nyie ndio mnatuambia leo sisi tunajua Kitambo haizuii mabadiliko kufanyika.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mbowe, Mtei walamba 5bn/- Lengo ni kumpisha Lowassa apitishwe kugombea urais

    Habari ya sasa ni MABADILIKO TUUUUU
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mdahalo Azam Two: Wagombea ubunge jimbo la Kawe

    Hongera saana kaka kwa UZI ulionyooka. Wambie waige.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa

    Ndio nani mboana unasema ameimba nyimbo ya matusi.. ama kweli mswahili kwenye maneno ya maana "ANAKARIRI YA KISHENZI KULIKO YENYE MAANA " pole saana kwa kutetea WIZI unalalamikia matusi.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Mdahalo ni lazima sio hiari

    Huo utamaduni hatukua nao labda msubiri CHADEMA tukishika madaraka ndio tutaanzisha.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Lowassa kwa hizi ahadi basi ana mchoko wa akili na hafai kuwa Rais

    Utachelewa kuelewa ni kwa jinsi gani ila sisi wenye akili ndio tunaelewa ni kwa jinsi gani we kampigie Magufuli uwekewe lami chumbani kwako badala ya marumaru.
  15. B

    JamiiForums Tanzania Wanaofikiria Lowassa ataingia ikulu wanaumwa

    Huyo mama ndio hapendwi kabisaa wanawake wanamlalamikia hajui kutangaza sera anajua tu kupinga katiba ya wananchi.
Back
Top Bottom