Hivi kipindi Cha magufuli iliwezekanaje umeme kutosumbua kwa miaka yote akiwepo madarakani,Nini kimebadilika ambacho hakikuwepo kwenye utawala wake kimefanya mpandishe Bei ya umeme je nyinyi sio sehem ya HUDUMA na ni anasa kwa mtanzania ?
Mbeya mjini kwa Sasa Kuna ligi kubwa Sana ya kutwaa maeneo ya umma kama masoko na viwanja vingi
Soko la mabatini lishachukuliwa kwamba ni Mali yao soko ambalo kimsingi mi eneo lililotolewa na WANANCHI kwa ajili ya maendeleo yao.
Soko la ikuti ccm imelichukua na kutamgaziwa kuwa ni Mali yao na...
Toka mwezi wa 12 mwaka 2020 inasemekana hamna mita za kuunga wateja wapya na mnawapa mashart ya kutoa 250000 muwaungie maji au wasubiri mita, hizo za kulipia zinatoka wapi.
Nina zaidi ya wiki tatu toka nilipie nmezungushwa miezi miwili nikihitajika toa hela hiyo au nisubiri maji kuunga Mbeya...
Nimejiunga Kwa Hawa jamaa bana Leo siku ya tatu nasubilia mwezi hapa nijue kitachofuata baada ya kupewa taarifa na mtu wa kalibu na kuona alivhopiga pesa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.