Mamlaka tayari zimeonesha hali ya kushindwa kueleza umuhinu na usalama wa chanjo, kuwarudisha wanainchi kwenye mstari itachukua muda. Jambo la kijiuliza kama kuna maelezo toshelevu na yenye ukweli kwanini wanainchi wayafuate maelezo batili?
Tunalo jambo la kujifunza hapa aidha kuna mahali...
Nadhani watu tunatakiwa kujielimisha kuhusu tofauti ya chama cha wafanyakazi na bodi ya kitaaluma ya taaluma fulani.
Hapa utakatwa kote, chama cha wafanyakazi wanachukua tozo zao na kwenye bodi utalipa.
Leseni ni jambo la kawaida ni kweli kwani hata kada nyingi hufanya hivyo, lakini hapa tatizo linakuja pale unaposema hii leseni lazima uhuishe kila mwaka. Ukiwa na akili angalau ya upili utajua lengo hapa ni kukusanya pesa kila mwaka. Wangeweza weka interval angalau kila baada ya miaka mitatu...
Ndugu Mwalimu CWT hawachukui maoni ili bodi iundwe, Serikali ishaunda Teachers Professional Board na sheria ya kuundwa kwake tayari imeshapitishwa bungeni. Ikatengeneza kanuni zitakazoongoza na ya uendeshaji wa hiyo bodi na wakazipeleka kwa kuwaita kuzijadili hizo kanuni, miongoni mwa wadau...
Tatizo matarajio ya wasomi wetu ni makubwa, wanatamani kama wangeweza wabebe degree zao kichwani zionekane huku miguu ikiwa imepauka na kunuka vikwapa. Msomi asiejua kutatua changamoto zake mwenyewe ni bure kabisa, hauwezi fanana na darasa la saba mwenye uwezo wa kuboresha hali yake.
Tabasamu yuko sahihi! Kuwekeza kwenye kuwaza lazima uajiriwe serikalini ni kujiongezea pressure. Ukiajiriwa accidentally nzuri lakini kama hujaajiriwa na serikali isiwe nongwa.
Lazima watu wazoee haya maneno ya kutoajiriwa na serikali mapema ili huu msamiati usiwe mpya kwao.
Kabla ya kusema jambo lolote ni bora kujiridhisha walau kwa uchache, sina hakika kama kumbukumbu za mwenye nyumba (Mmiliki) zitaambatanishwa na mpangaji wa nyumba au jengo.
Waliopitia kama ni sheria au miongozo za namna ya ulipaji wa kodi za majengo watuletee ufafanuzi kidogo ili tuweke kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.