Recent content by barite

  1. B

    JamiiForums Tanzania Anayeshona suti za Rais Magufuli arekebishe mikono

    Tatizo inawezeka silo la mshonaji may be vipimo ni irregular,:):):):)
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Obama hakuonana na Rais wa Tanzania?

    Tatizo siyo lugha bali mimi nahisi ni kiburi la jiwe kwani hata Putin hajui kiingereza bali alitumia wakalimani alipokutana na trump,jiwe ana aina Fulani ya kutokujali kbs, ingekuwa enzi za jk tungeshuhudia hadi ngoma zikichezwa kbs any way tusilaumu sana may be ndio bwana baraka alipenda iwe hivyo
  3. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Obama: Mwambieni Magufuli nataka eneo Moshi nijenge vacation home

    Wizara yetu nzuri chini ya kingwagala imetumiaje hii nafasi kutangaza vivutio vya maliasili?
  4. B

    JamiiForums Tanzania Mabasi 47 ya Mohamed Trans kupigwa mnada baada ya mmiliki kushindwa kurejesha mkopo

    Mkuu hata mkuu hata trump aliwahi filisika kabisa,pia kumbuka Ugiriki ilivyofilisika
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mabasi 47 ya Mohamed Trans kupigwa mnada baada ya mmiliki kushindwa kurejesha mkopo

    Siyo magari tu,hadi nyumba zake zimetangazwa kuuzwa,hii itakuwa Mara ya Pili kuna kipindi TRA nayo ilitangaza mnada
  6. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wale tulioshindwa lala wenyewe Hotel/Gesti,na kuamua kulala 'MBEREEE' na Dada/mama mpangisha Room mkuje Hapa .

    Niko siti ya mbele kumlinda dereva asisinzie
  7. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri wa nguo za kuvaa kwa wadada mnapokuwa kwenye siku zenu

    Mkuu uliweza kuendela kukaa hapo? If yes ungemwambia ukweli ajirekebishe
  8. B

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi Wilaya ya Moshi apanda jukwani na kumpigia kampeni mgombea CCM

    Hata nyerere aliwahi kumpigia kampeni mgombea ubunge wa NCCR Mageuzi kwasababu aliona mgombea wa CCM hakuwa na sifa za kuwa kiongozi bora
  9. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inawezekana kupata mwenza ukiwa na uwezo wa kufanya 'goli' moja?

    Sasa mkuu kipindi unapiga nyeto hukuwa na akili ya kuuliza kwa great thinkers kuhusu madhara yake?ila usikate tamaa tafuta hela then mwanamke utampata tena hatakusumbua kbs
  10. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Duu kuna wanaume wamejaliwa jamani na wajua kuliamsha dude...

    Leo umemsaliti Mme wako?na huyo jamaa hujampa ile style uliyoikosa tangu mpenzi wako wa zamani afariki?
  11. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Kila nikimfundisha mke wangu kuendesha gari tunakaripiana

    Umetumia ID ya mkeo?yaani mwanaume tena mwenye ndoa unajiita MDESI?au we ndio mke na unamlalamikia mmeo?toa kwanza huo utata then tuendelee na mada yako
  12. B

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kufanya ziara ya kikazi mkoani Pwani

    Hata kiwanda cha Sayona fruit ndio wanazindua kesho?wakati hizo product za sayona zilikuwa sokoni tangia 2010 kipindi hicho nilikuwa mwanaume wa dar,kama hali ndio hii basi hizi namba za viwanda vipya tunazoambiwa kila siku zina utata sana
  13. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania The Interview: mshana Jr.

    Mkuu mshana ,kadri siku na miaka zinavyoenda ukijumuisha na masuala ya elimu na utandawazi inasemekana kuwa nguvu za uchawi na uganga zinapungua sana mfano waganga wa zamani walikuwa na nguvu sana but siku hizi wenye nguvu ni wakubahatisha ni yapi maoni yako kwenye hii hoja?
  14. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania The Interview: mshana Jr.

    Mkuu mshana, kuna watu wakati wakuombewa na viongozi wa dini hupoteza fahamu na baada ya hapo huanza kuongea kwa sauti tofauti tofauti sauti hizo zikijieleza kuwa sisi tumetumwa na Fulani etc je huwa ni kweli au ni sawa na ramli chonganishi?
  15. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania The Interview: mshana Jr.

    Mkuu ,kuna siku huwa mtu anaamka asubuhi akiwa amechoka sana na baadhi ya viungo vya mwili kuwa na maimivu,je mchawi anaweza kukufanyisha kazi bila ya wewe kujielewa na kukurudisha kwenye hali ya kawaida?
Back
Top Bottom