Recent content by Baris

  1. Baris

    Mlio Hamia nyumba zenu mpya, Majirani zenu Shwari au Vita?

    Sana mzee na ili ufaulu kuishi na watu weusi ,jifunze kutengeneza mipaka na watu , Usiruhusu wakuzoe kupita kiasi na kukujua kwa undani ,Ishi nao kwa tahadhari
  2. Baris

    Mlio Hamia nyumba zenu mpya, Majirani zenu Shwari au Vita?

    Yaani hao mkuu usiwe mnyonge,ukiwa mnyonge watakuendesha pambana nao mpaka mwisho ,mm nnavisanga vingi vya hawa jamaa sema mvivu kuandika washanipitisha kwenye mambo magumu mengi ila nashukuru mungu wanaanza kulipia moja baada ya lingine
  3. Baris

    Mlio Hamia nyumba zenu mpya, Majirani zenu Shwari au Vita?

    Yaani aisee ni kizaazaaa mm nnae mmoja nimepakana nae ,Aisee tumeminyana sana ,kuna hawa wahaya na wagogo kwa ubishiiii na kugombania mipaka
  4. Baris

    Mlio Hamia nyumba zenu mpya, Majirani zenu Shwari au Vita?

    Hawa watu ,wanataka wao ndo wawe juu ,wenye hela wao ,wasomi wao ,yaani kila kitu ni wao tu
  5. Baris

    Mlio Hamia nyumba zenu mpya, Majirani zenu Shwari au Vita?

    Wahaya ni wanaroho mbaya sana aisee ,na wabinafsi sana ,
  6. Baris

    Nani anauwezo wa kunitoa kwenye kifungo hiki cha biashara?

    Mkuu swali la kujiuliza Hapa :Hujadhulumu mtu kweli ? Akaamuwa kumshtakia Mungu au kukufanyia ulonzi ? Ambao hata kama utakwenda kwa waganga na waganguzi kama ni haki yake au ulimfanyia ubaya lazima utakusumbua kwenye kujinasua ,na suluhu pekee huwa ni kwenda kumwangukia mhusika, Jaribu...
  7. Baris

    Masikini wana roho mbaya sana! Kaa nao mbali

    Hili kaka ukilifanya litakusaidia ,uswahilini hawapendi ujisikie uwadharau ,mie nilijenga sehemu kuna wazawa wengi ila nimeweza ishi nao mpaka leo na ukiwatajia mie watu wanakwambia jamaa hana shida hata mtu akizingua huko nakuja naambiwa fulani anasema haya na haya ,na japo mie si mtu wa kuenda...
  8. Baris

    Nahisi amenipendea hela zangu au yupo kwangu kwaajili ya manufaa yake binafsi haswa kiuchumi

    Mkuu uko sahihi ,Tatizo lao huwa wajuaji sana ,wanatakaga akisha kuwa na vicent akuendeshe sana ,sasa mwanaume akishaona humpi heshima yake kinachofata atakuliza maana sisi huwa tukiingia kwa mwanamke huwa upendo unakuwa 100 ila kadri siku zinavyokwenda huwa unapungua kwa matukio na visa...
  9. Baris

    Wapi nitapata mganga wa Kienyeji mzuri?

    Kwa uzoefu wangu ,Si kila mganga ana uwezo wa kumsaidia kila mtu ,mambo mengi ya kiroho au Tiba za asili hauwendana na mkono wa mtu na nyota yako , Mfano 1:naweza kukawa mganga anasifiwa ni mzuri na anasaidia wengi lkn ukaenda ww ukadunda , 2:Pia matatizo ya watu huwa hayafanani ,kila mmoja...
  10. Baris

    Usijiloge ukafunga Ac kama huna hela utaiuza

    Mkuu hili jambo tutabishana na binafsi huwa sipendi ubishi ama mashindano binafsi nimeeleza mazingira ya kwangu navyokwenda nayo hiyo Ac kama hutaki ama huamini basi , siwezi kukulazimisha ,Ila nimeeleza uzoefu wangu na namna navyofanya kupunguza matumizi , maana mpaka sasa naona hiyo Bt18000...
  11. Baris

    Usijiloge ukafunga Ac kama huna hela utaiuza

    Inategemea na hitajio la mtu inamana huo usiku hiyo temp inakuwa hivyo ,maana mie nimesemea kwa nyakati za usiku mchana huwa siweki hiyo Temp Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
  12. Baris

    Usijiloge ukafunga Ac kama huna hela utaiuza

    Kiongozi hiyo 30 inasaidia sana maana tunalala na mtoto ,compresa inazinguka inajizima kwetu naona kwa usiku inanifaaa sana maana nikiweka hata 27 baridi likakuwa kali sana maana chumba pia si kikubwa sana ila nimefunga bt 18000 Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
  13. Baris

    Joto la sasa la Dar linaweza vunja rekodi

    Sawa nimekuelewa kiongozi
  14. Baris

    Joto la sasa la Dar linaweza vunja rekodi

    Kiongozi hizi AC za Inveter zinapunguza kasi ya ulaji wa umeme au ni stori tu ,maana kuna jamaa naona kaleta uzi yake ina inveter na mie haina inveter ulaji wake sawa tu naona ,? Ebu nipe ufafanuzi hapa
  15. Baris

    Joto la sasa la Dar linaweza vunja rekodi

    Wala usitafte fundi kiongozi mchawi ni hiyo AC maana binafsi kabla sijafunga Ac ,matumizi yangu yalikuwa umeme wa 10,000 ambazo unut 28 natumia siku 5 ,hapo friji halizimwi ,na feni kwangu ziko tatu na makorokoro mengine ,inamana nilikuwa natumia Unit 5.6 kwa siku , Ila nilipofunga Ac chumbani...
Back
Top Bottom