Recent content by Barikiel

  1. Barikiel

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kataa ndoa vs kubali ndoa (online poll)

    Mimi nakataa wasione kwasababu ndoa inafungwa leo baada ya wiki mbili wametengana hapo hakuna ndoa zaidi ya kusumbua Wachungaji na Mapadri kila uchao wakae hivyo wapigane miti wazae. Hii ya kumchezea MUNGU hapana.
  2. Barikiel

    JamiiForums Tanzania Mjadala: 'Namna ya Kutambua na Kuepuka Utapeli Mitandaoni' - Septemba 21, 2023

    Jamani Akaunti yangu ya instagram ime dukuliwa nifanye je
  3. Barikiel

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mume, awe HIV+

    Utapata madam ume sema hitaji lako wapo wenye uhitaji kama wewe
  4. Barikiel

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Licha ya kuambiwa chuo kuna watoto wakali. Lakini kuna Watu walimaliza chuo bila kupata demu yeyote

    Mimi sija soma chuo ila nimewala sana.
  5. Barikiel

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kurithi na kuvaa nguo za marehemu?

    Leo ndo unajua kama kuvaa nguo za marehem ni vibaya. Hayo mamitumba unajutundika kila kukicha unajua yametoka wapi? Mara ya mwisho wewe kuingia dukani ukanuna nguo mpya ni lini. Tuanzie hapo.
  6. Barikiel

    JamiiForums Tanzania Serikali yaanza uchunguzi wanafunzi kufundishwa ulawiti

    Hivi vitu wanaiga kutoka huko kwa wenzetu. Na ikibainika haya mambo Yana ukweli basi naishauri Serikali ifanye kama alivyo fanya Mwalim Nyerere kuzitaifisha ziwe Mali ya Serikali kuliko hichi kizazi Kinacho tengenezwa.
  7. Barikiel

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kufumbia macho haraka za Madereva

    Kweil ngoja niweke mfano wa tarime hapo hii siyo probox
  8. Barikiel

    JamiiForums Tanzania Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    Hawa watu weupe naona Sasa wanaona kama MUNGU amesinzia maana siyo kwa dharau hizi. Yani wamejaribu kubana mataifa kujiunga naku kubali ushoga wanaona haitoshi wameamua Sasa wapeleke mtaala wa kishoga tena kwa Hawa Malaika. Tukemee jamani. Watanzania mnaoishi huko mambele rudisheni Watoto waje...
  9. Barikiel

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kufumbia macho haraka za Madereva

    Huyo wa kushoto aliekuja anachukua video sidhani kama tunae. Huyu aliekua nyuma ya Dereva ndo atakua kaweka na huu ushahidi kabisa.
  10. Barikiel

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kufumbia macho haraka za Madereva

    Kama ndo hivyo yakitokea yaku tokea wakae kimya Sasa.
  11. Barikiel

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kufumbia macho haraka za Madereva

    Ifike mahali abiria wanapo ona Dereva anaendesha gari mwendo ambao sio mzuri wajisimamie na waache kuja kusema mwendo ilikua mkali.
  12. Barikiel

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uzalendo kama huu, sio rahisi kuupata popote hapa Afrika, majirani ipendeni nchi yenu

    R.I.P Baba wa taifa. MUNGU Alimleta Tanzania kwa makusudi maalum.
  13. Barikiel

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Coronavirus: Familia ya Mwanasiasa Mkongwe yapukutika

    Kuna mtia nia mmoja kule Kilimanjaro alisema akichaguliwa atajenga ukuta kuziba mlima Kilimanjaro hao panya buku wasiuone, sijui kama alifanikiwa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]nilimuelewa sana yani. Piga Nyundo kabisa hao.
Back
Top Bottom