Recent content by BARD AI

  1. BARD AI

    Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) yakemea vitendo vya utekaji, ukatili na mauaji yanayoendelea nchini

    Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) imekemea vitendo vya utekaji, ukatiili na mauaji yanayofanywa na genge la watu wasiojulikana na kulaani tukio la kuchukuliwa na kuuawa kikatili kwa kada wa Chadema, Ally Kibao. CCT ni Taasisi inayowakilisha Umoja wa Madhehebu ya Kikristo ya Kiprotestanti pia...
  2. BARD AI

    Ripoti GRFC: Zaidi ya Watu Milioni 1.9 wameongezeka kwenye kundi la Wasio na Uhakika wa Kupata Chakula Duniani

    Imeelezwa kuwa kati ya mwaka 2023 hadi 2024, Watu Milioni 1.9 wameongezeka katika idadi ya Watu wanaokabiliwa na Hali Mbaya ya Upatikanaji wa Chakula duniani kutoka Watu 705,000 walioongezeka mwaka 2022/23. Kwa mujibu wa Ripoti mpya ya Kimataifa ya Migogoro ya Chakula (GRFC), ongezeko hilo...
  3. BARD AI

    Shahidi adai Padri Rwegoshora aliahidi kumpa V8 baba wa Mtoto Albino 'Asimwe'

    Upande wa Jamhuri katika kesi ya mauaji ya mtoto mwenye ualbino, Asimwe Novath (2) umewasilisha maelezo ya ushahidi katika hatua ya awali, ukieleza utakuwa na mashahidi 52 na vielelezo 37. Katika maelezo hayo ya ushahidi, mmoja wa mashahidi ameeleza mbinu iliyotumiwa na washtakiwa kumpora mtoto...
  4. BARD AI

    Rais Museveni asisitiza hakuna kutoa dhamana kwa Wala Rushwa, Mafisadi na Wauaji

    Rais Yoweri Museveni amesisitiza kuwa Serikali haiwezi kuruhusu utaratibu wa Dhamana kwa Watu wanaotuhumiwa kuhusika na Ufisadi, Rushwa na Kesi za Mauaji. Akizungumza katika mkutano wa kila mwaka kati ya Ofisi ya Mwendesha Mashtaka (DPP) na Kurugenzi ya Upelelezi wa Jinai, Museveni amesema njia...
  5. BARD AI

    Moto waua Wanafunzi 16 wa Shule ya Hillside Endarasha, 14 wajeruhiwa

    Wanafunzi 16 wameripotiwa Kupoteza maisha baada ya ajali Moto kutokea katika moja ya Mabweni ya Shule ya Hillside Endarasha iliyopo Kieni, Nyeri usiku wa kuamkia Septemba 6, 2024. Msemaji wa Huduma za Polisi Kenya, Resila Onyango amethibitisha tukio hilo na kueleza "Tuna wanafunzi 16 wamekufa...
  6. BARD AI

    Tanga: Mahakama yazuia Dhamana ya Kombo Mbwana, ataendelea kubaki Rumande

    Baada ya mvutano wa siku kadhaa kuhusu dhamana ya kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoani Tanga, Kombo Mbwana, Mahakama ya Wilaya ya Tanga imeuhitimisha kwa kufunga dhamana yake. Uamuzi wa kufunga dhamana umetolewa Alhamisi, Septemba 5, 2024 na Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya...
  7. BARD AI

    'Afande Fatma' afika Mahakamani, Hakimu aahirisha Kesi ya 'Binti wa Yombo' hadi Oktoba 7, 2024

    Fatma Kigondo anayedaiwa kuwatuma watuhumiwa wa kosa la kubaka kwa kundi ametii wito wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma iliyomtaka kufika mahakamani hapo leo Septemba 5, 2024. Mahakama hiyo Agosti 23 ilitoa wito wa kufika mahakamani (samansi) kwa Fatma baada ya ile ya awali iliyomtaka...
  8. BARD AI

    Tanga: Mahakama kutoa uamuzi kuhusu Polisi kuendelea kumshikilia Kombo Mbwana

    Leo Alhamisi, Septemba 5, 2024 ni siku nyingine ya matumaini kwa mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Tanga, Kombo Mbwana, anayekabiliwa na kesi ya jinai, kurejea uraiani kwa dhamana. Uamuzi huo unatarajiwa kutolewa na Mahakama ya Wilaya ya Tanga, kuhusiana na maombi...
  9. BARD AI

    Hivi ndio Wagombea wa CCM wanaomba kuteuliwa kuwania Ubunge wa Afrika Mashariki?

    Nimeangalia hii video nimeshindwa kuelewa tofauti ya Kuuza sera na "Kujiuza" ni ipi. Shame.
  10. BARD AI

    DR Congo: Wafungwa 129 wauawa wakijaribu kutoroka Gerezani

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Shabani Lukoo amesema, Watu 129 wameuawa wakati wakijaribu kutoroka katika Gereza Kuu la Makala jijini Kinshasa na wengine 59 wakijeruhiwa. Waziri Lukoo ametaja madhara mengine yaliyotokea katika tukio hilo ni pamoja na baadhi ya Majengo ya Utawala kuchomwa moto...
  11. BARD AI

    Rapa Prezzo adai yeye ndiye chanzo cha Diamond Platnumz na Wasanii wengine wa Afrika Mashariki kuanza kupata Pesa

    Jackson Ngechu Makini, anayejulikana pia kama Prezzo, mwanzilishi katika ulingo wa muziki wa Kenya, amekuwa na ushawishi mkubwa katika tasnia hiyo kwa miaka mingi. Katika mahojiano haya, mshiriki wa zamani wa Big Brother Africa anazungumzia safari yake, mchango wake katika ukuaji wa tasnia ya...
  12. BARD AI

    Brazil: Mahakama Kuu kupiga Kura ya kuamua kama X (Twitter) inastahili kufungiwa

    Mahakama Kuu nchini Brazil, leo September 2, 2024 itatoa uamuzi kwa kupiga Kura itakayoidhinisha kufungiwa au kuondoa adhabu hiyo dhidi ya Mtandao wa X (zamani Twitter), uamuzi uliotolewa Agosti 31, 2024 na Jaji Alexandre Moraes. Kura hizo zitapigwa na Majaji 11 akiwemo Jaji Mkuu ambapo idadi...
  13. BARD AI

    ACT Wazalendo na CHADEMA kukutana kujadili hali ya Siasa nchini

    Makatibu Wakuu wa vyama vya Upinzani Tanzania (ACT Wazalendo na CHADEMA wanapanga kukutana na kujadili hali ya kisiasa nchini kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Ado Shaibu, Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo ameandika kupitia X (Twitter) "|Nimezungumza kwa simu na @jjmnyika, Katibu Mkuu wa...
  14. BARD AI

    TRA: Vitu viwili duniani haviepukiki ni Kifo na kulipa Kodi

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imesema moja ya Wajibu wake ni kuendelea kuhamasisha ikiwemo kutoa Elimu ya Mlipakodi kwa Watanzania ili watambue thamani na Umuhimu wa Kufanya hivyo ikiwa ni kwa Maendeleo yao na Maslahi mapana kwa Taifa. Kauli hiyo imetolewa Jijini Dar es Salaam leo Agosti...
  15. BARD AI

    Amos Makalla: Mabasi ya Mwendokasi yataanza kazi Mbagala Desemba 2024

    Wakati Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla akisema kuna mabasi 200 yaendayo haraka yanayoyotarajiwa kuanza kazi katika barabara ya Mbagala, Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (Dart), Dk Athuman Kihamia amesema hayo ni maelekezo ya...
Back
Top Bottom