umeelezea vizuri sana....tusivunjane moyo jamani,,,haya mambo yalikuwepo tangu enzi za lutu,wanaotaka kuoa waoe,wanaotaka kuolewa waolewe,wanaotaka u single waendelee,kila mtu na maisha yake.Hakuna formula na sio kwamba kwasababu kimemtokea fulani na wewe kitakutokea,,,cha muhimu ni kuomba Mungu...