Recent content by Barakoa

  1. Barakoa

    JamiiForums Tanzania Who is this Man? Mwenye CV yake

    Aisee
  2. Barakoa

    JamiiForums Tanzania Utabiri wangu: Rais 2025 Tanzania ni mwanamke

    Aisee
  3. Barakoa

    JamiiForums Tanzania Nimemisi kuona Mh Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kusafiri kwenda ulayaa

    Sasa hivi watu wa ulaya ndio wanaokuja nchini kujifunza, maana uchumi wetu unafanya vizuri kuliko hata wa marekani.
  4. Barakoa

    JamiiForums Tanzania Ma-TO walipofunikwa na Sylivester Mwageni (True mathematician)

    Story nzuri sana japo kuna chumvi pia ndani yake. Nilibahatika kusoma na Gwamaka na Sylvester, sema hao jamaa ni gifted. That left handed Sylvester is something else when it comes to numbers.
  5. Barakoa

    JamiiForums Tanzania Unatoaje weusi kwapani na shingoni?

    Yapo ya aina nyingi, kuna Dry Impact, Silver Protect, Black & White Invisible, Cool Kikck, Fresh Active na mengine ambapo kila moja ina ingredients zake.
  6. Barakoa

    JamiiForums Tanzania Nimepigwa Tsh milioni 8 kwenye biashara ya uwakala kupitia mfanyakazi mzembe

    Watu ni wepesi wa kulaumu kwa sababu hajayawakuta wao. Ila hii bishara ni ngumu mno maana we unafanya kazi na hao unaowaona wateja kumbe wanakufanyia kazi kutafuta gap la udhaifu ili wakupige.
  7. Barakoa

    JamiiForums Tanzania Unatoaje weusi kwapani na shingoni?

    Ni ni-vea ipi hiyo mkuu ? Maana wana aina nyingi mno.
  8. Barakoa

    JamiiForums Tanzania UNAKUMBUKA: A wreath for Father Mayor

    Mimi nakumbuka kitabu kiitwacho " Is it possible ?"
  9. Barakoa

    JamiiForums Tanzania Jamii tuzungumze kuhusu baadhi ya wababa na matunzo kwa watoto

    Hoja nzuri mheshimiwa. Mi nadhani mngewekeza nguvu kubwa kwenye elimu ya kujenga tabia za watu. Hapa malalamiko mengi ya kutowajibika kwa baba yataelekezwa kwenye tabia zisizofaa za akina mama wa hawa watoto ambao wengi wao wamekuwa na kauli mbaya, tabia mbaya, mienendo mibaya na hata wengine...
  10. Barakoa

    JamiiForums Tanzania Ushauri Balozi HP: Ukiongoka, Kujitenga na Uovu na Kusema Ukweli, Sema Ukweli Wote Sio Ukweli Nusu Nusu!. Jitenge Jumla Sio Mguu Ndani, Mguu Nje!

    Mkuu paskali, wakati mhe. Balozi anasasilisha hoja alitaja disclaimer ambayo inamzuia kutaja baadhi ya mambo aliyoyajua akiwa kazini hata baada ya kutoka kwenye hizo nafasi na akasema yale yanayohusu serikali hatakuwa specific ila yale yanayohusu chama kwa kuwa hayana viapo vya miiko...
  11. Barakoa

    JamiiForums Tanzania Maono ya Karatasi nyeupe ya siri itakayofunguliwa 2025

    2025 si ndio hii
  12. Barakoa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umewahi fanya mapenzi na mtu ambaye hukumdhania?

    Aisee
  13. Barakoa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada ndugu zangu, ndoa yangu inaenda kudidimia

    Aisee
Back
Top Bottom