UDINI SIO ISHU!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
CHADEMA NI ZAIDI YA LWAKATARE!!! CHADEMA NI ZAIDI YA DR. SLAA!!!!!!!!!!! Tz YENYE NEEMA IKO MIKONONI MWA CHADEMA, MKONO WA MUNGU U JUU YA RWAKATARE NA CHADEMA NA HAKI ITATENDEKA!!!!!!!!!!!!!!!!
BK wanaenda kula ndizi huku Lwakatare akisubiri nguvu ya uma bk na Tz ifanye kazi kushinikiza haki itendeke!!!!!
maandamano yako palepale!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
HEY WANA JF, SALUTE SANA!!!!!!!!!!!!!!
Michango yenu ya namna hii inasaidia kuimarisha vyama vya siasa na afya kwa ukuaji wa demokrasia Tz!!!!!!!!!!!!
Tunaisubiri asubui ya haki kutendendeka!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
mbona Mh Mboe m/kiti CHADEMA TAIFA alipoitwa kuchukua kitambulisho chake hakutokea??? mbona mh. Lupumba m/kiti CUF alipokabidhiwa kitambulisho chake aliongea naye sana au alikuwa anamwambia Kikwete atumie kitambulisho hicho kumteua ubunge wa viti...
kumuita Mzee Nyerere badala ya Baba wa Taifa ni kumpunguzia heshima yake kwa waTz lakini ni kama kuonesha kuwa huyu mkuu bado anaishi na yuko hai!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Dor Uli ni mmoja wa wapigania haki ambao wanakumbwa na Hali hii, hawawezi kuacha kupigania haki kwa kuogopa Polic,usalama wa Taifa,maji ya kuwasha na mabomu ya kutoa machozi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Hatutaacha kupigania haki mpaka kieleweke tena kamanda ULI ungana na...
Similarity; ni mtoo wa Rais kama walivyo watoto wa maraisi wengine like Mwinyi's sons & Nyerere's sons.
Difference:Ridhiwan ni bilionea wa kutisha,ni tajiri sana.
MASWALI;
+Anafanya kazi gani?
+yenye kipato gani?
Mbona watoto wa Nyerere sio...
Napongeza kwa mara ya kwanza!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
nampongeza naibu spika kwa kujaribu kuongoza bunge GIZANI jana jioni, wakijadili wizara-ARDHI,
Naomba P. Mayala unioneshe nani wa kumulaumu kati ya NAIBU SPIKA, TANESCO, SERIKALI Kwa tatizo la kufanya vikao gizani coz no...
Wala hujaitetea serikal. bali umetupa hamasa ya kutaka kujua ukweli zaidi na kuwaonesha wapi ni wachafu kwani ndilo jukumu kubwa la JF! Mfano wamekuwa wakihamisha watendaji wachafu[MAFISAD] kutoka halmashauri moja kwenda nyingine, je Mr P> Mayla unataka tuwapongeze CCM ktk...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.