BULOLE BUKOMBE
JF-Expert Member
- Apr 7, 2011
- 488
- 109
katiba mpya ya zenj unaipinga? Jwtz hawana kazi, kwenye vita general shimbo ndo anakula, mabomu hayana kazi huku! Anza harakati tu! Good luck!
kuwatuma jw zanzibar ni matusi na kuwadhihaki tena ni sawa na kuvunja yai kwa kutumia nyundo mimi naamini kabisa tukiwapa wakurya kama 200 hivi wanatosha kuwa discipline hao wajinga wachache walioko zanzbar hata ffu wasiende.