CHADEMA, Jipangeni na mpango huu wa serikali na vyombo vyake

Kikao cha Makamishina wa Polisi kilichokuwa chini ya DCI kimemalizika na kuazimia kuwa leo LwKatare hawezi kufikishwa mahakamani kwani mpaka sasa hakuna ushahidi wa dhahiri wa kufanya hivyo , badala yake wanaendelea kutafuta ushahidi na wataenda mpaka Bukoba kupekua nyumba yake , wanachoenda kutafuta huko hakijulikani kwani huko kwa mwaka anakaa mara chache sana, Chadema jiandaeni ...........Adious .....
 
Nyongeza ......kati ya mikataba 11 itakayosainiwa huu nao upo ......,'Makubaliano ya jumla ya Ushirikiano wa Kimkakati kuhusu uendelezaji wa Kanda Maalum ya Kiuchumi ya Bagamoyo kati ya serikali na Kampuni ya China Merchant Holding International (CMHI) .........

Chadema jipangeni na Maandamano mlinusuru taifa na aibu hii ya elimu .......
 
Kikao cha Makamishina wa Polisi kilichokuwa chini ya DCI kimemalizika na kuazimia kuwa leo LwKatare hawezi kufikishwa mahakamani kwani mpaka sasa hakuna ushahidi wa dhahiri wa kufanya hivyo , badala yake wanaendelea kutafuta ushahidi na wataenda mpaka Bukoba kupekua nyumba yake , wanachoenda kutafuta huko hakijulikani kwani huko kwa mwaka anakaa mara chache sana, Chadema jiandaeni ...........Adious .....

ikiwezekana kikombe hiki kituepuke wanachadema.
 
DR. SLAA. Ndugu Waandishi,CHADEMA haiko tayari kuruhusu watu wenye maslahi binafsi kutuchafua mbele ya jamii. Katika hilo, tutapambana na yoyote bila kujali cheo chake, madaraka yake serikalini, fedha alizonazo au madaraka mengine.

MY STANCE:
KAMA HUNA VYOMBO VYA DOLA, JESHI, MAHAKAMA, POLISI, MAGEREZA N.K UNAPAMBANA KWA NJIA GANI KAMA SI KUNYAMAZISHA WATU KWA KUWATESA NA KUWAUA??

KWA KAULI HIYO YA DR. SLAA HIVI WATANZANIA HATUONI KAMA DR. SLAA YUPO NYUMA YA LWAKATARE?? KWA NINI VYOMBO VYA DOLA HAVIMKAMATI KWA KUANDAA MAUAJI???

NAAMINI ILE VIDEO CLIP YA LWAKATARE NI YA KWELI. NDIO MAANA WAKATI ANAPANGA MIKAKATI MACHOZI YANAMTOKA. KAPEWA MAAGIZO AMBAYO LAZIMA AYATEKELEZE LAKINI NAFSI INAMSUTA KWA KUHUJUMU HAKI YA MTU.

Je, umewahi kutoa tamko kuwa Mwigulu au ustaadhi ILUNGA akamatwe?!... Kuna CD mbaya kupindukia ktk taifa letu kuliko ile ya Ustaadhi ILUNGA?!... Au wewe akiuawa padri au askofu au mchungaji au mlei unaona poa tu?!.
 
Mtakumbuka kuwa mnamo siku ya jumatatu tarehe 11.03.2013 Mwenyekiti Mbowe akiwa Musoma alitangaza rasmi tarehe ya kufanyika kwa maandamano makubwa ya kuisimamisha nchi kwa siku nzima yaani tarehe 25.03.2013 ambayo yatahusisha Majiji ya Dsm, Arusha, Mbeya na Mwanza , ambayo yatakuwa na lengo lla kumshinikiza waziri wa Elimu Shukuru Kawambwa na Naibu wake wajiuzulu kutokana na matokeo mabaya ya wanafunzi wa kidato cha nne ambao walifeli zaidi ya asilimia 95.

Aidha baada ya tahere hiyo kutangazwa na kutokana na umuhimu wa siku hiyo kwa taifa kuwa ni siku ambayo Rais wa China atakuja nchini mwetu ikiwa ni ziara yake ya pili tangu aapishwe kwenda nje ya nchi na ni ziara ambayoatakuja kusaini mikataba kumi na moja , pia anategemewa kutoa hotuba kwa ulimwengu kuhusu mwelekeo wa sera za China kwa Afrika siku hiyo na hotuba hiyo itakuwa ikirushwa moja kwa moja na vyombo mbalimbali vya habari ulimwenguni kama ,BBC, CCTV,CNN na Aljazeera NA vinginevyo , kikao kizito cha idara kilichofanyika siku ya jumanne kiliazimia kuwa video ya Lwakatare iwekwe kwenye mtandao kwa lengo la kuhamisha mjadala na maandalizi ya Maandamano ya CDM ili wanadiplomasia na mashushushu kutoka China ambao wapo nchini kwa ajili ya maandalizi kuwepo tangu tarehe 03.02.2013 ambao wapo wasione kuwa kuna tishio la maandamano , ili wasije wakaahirisha ziara ya rais huyo ambayoni ya umuhimu mkubwa kwa china na msimamo wake kuhusu Afrika .

Mkakati huo ulipangwa licha ya kuwa utengenezaji wa video hiyo ulikuwepo na kujulikana tangu mweziJanuary 2013 na Denis MSacky alifungua jalada polisi kuhusiana na mkanda huo na pia alipewa ulinzi na waziri wa mambo ya ndani , mpaka leo amepewa askari kanzu ambaye anafanya naye shughuli kama dereva wake tangu mwezi Januari , mliokuwa mnafahamu maisha yake kabla ya hapo mtakuwa mmejua jambo, na hata juzi wakiwa Beach Comber hoteli kwenye inhouse training hilo alilisema mbele ya waandishi wenzake na mabosi wao waliokuwepo.

Chadema jipangeni kwani mkakatiwa idara ndio huo juu yenu,

Kwa kuwa nimewaeleza nyie Chadema mambo haya ya ndani, na juzi niliwaeleza kuhusu maelekezo ya Zoka kwa Kova kuhusu Lwakatare na hamkuonekana kuchukua tahadhari mapema , ni vyema mkajua maandamano mliyokuwa mmetangaza yalijadiliwa sana na kama mkijipanga Kawambwz na Mulugo wanaondoka ili kunusura Taifa na aibu iliyoko mbele , hasa ukizingatia mikataba itakayotiwa saini ipo tayari........wenye kumbukumbu kumbukeni tuhuma zilizozagaa za mtoto wa Kigogo kukamatwa China........

HEY WANA JF, SALUTE SANA!!!!!!!!!!!!!!
Michango yenu ya namna hii inasaidia kuimarisha vyama vya siasa na afya kwa ukuaji wa demokrasia Tz!!!!!!!!!!!!
Tunaisubiri asubui ya haki kutendendeka!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hii ndo inaniuma sana make hatujuhi makubaliano yalikuwa yapi mpaka Riz akaachiwa. Inawezekana wote tumeshauzwa kwa Mchina. Je hiyo mikataba 11 ni ya nini. Jamani mwenye kujua atuwekee wazi labda tunaweza kuzuia isisainiwe. Huyu jamaa anatumaliza watanzania.
 
Je, umewahi kutoa tamko kuwa Mwigulu au ustaadhi ILUNGA akamatwe?!... Kuna CD mbaya kupindukia ktk taifa letu kuliko ile ya Ustaadhi ILUNGA?!... Au wewe akiuawa padri au askofu au mchungaji au mlei unaona poa tu?!.

UDINI SIO ISHU!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
CHADEMA NI ZAIDI YA LWAKATARE!!! CHADEMA NI ZAIDI YA DR. SLAA!!!!!!!!!!! Tz YENYE NEEMA IKO MIKONONI MWA CHADEMA, MKONO WA MUNGU U JUU YA RWAKATARE NA CHADEMA NA HAKI ITATENDEKA!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kikao cha Makamishina wa Polisi kilichokuwa chini ya DCI kimemalizika na kuazimia kuwa leo LwKatare hawezi kufikishwa mahakamani kwani mpaka sasa hakuna ushahidi wa dhahiri wa kufanya hivyo , badala yake wanaendelea kutafuta ushahidi na wataenda mpaka Bukoba kupekua nyumba yake , wanachoenda kutafuta huko hakijulikani kwani huko kwa mwaka anakaa mara chache sana, Chadema jiandaeni ...........Adious .....
Mungu akulinde na akubariki kwa moyo wa upendo kwa Tanzania na Watanzania'
 
Kikao cha Makamishina wa Polisi kilichokuwa chini ya DCI kimemalizika na kuazimia kuwa leo LwKatare hawezi kufikishwa mahakamani kwani mpaka sasa hakuna ushahidi wa dhahiri wa kufanya hivyo , badala yake wanaendelea kutafuta ushahidi na wataenda mpaka Bukoba kupekua nyumba yake , wanachoenda kutafuta huko hakijulikani kwani huko kwa mwaka anakaa mara chache sana, Chadema jiandaeni ...........Adious .....

DCI keshapona?
 
DR. SLAA. Ndugu Waandishi,CHADEMA haiko tayari kuruhusu watu wenye maslahi binafsi kutuchafua mbele ya jamii. Katika hilo, tutapambana na yoyote bila kujali cheo chake, madaraka yake serikalini, fedha alizonazo au madaraka mengine.

MY STANCE:
KAMA HUNA VYOMBO VYA DOLA, JESHI, MAHAKAMA, POLISI, MAGEREZA N.K UNAPAMBANA KWA NJIA GANI KAMA SI KUNYAMAZISHA WATU KWA KUWATESA NA KUWAUA??

KWA KAULI HIYO YA DR. SLAA HIVI WATANZANIA HATUONI KAMA DR. SLAA YUPO NYUMA YA LWAKATARE?? KWA NINI VYOMBO VYA DOLA HAVIMKAMATI KWA KUANDAA MAUAJI???

NAAMINI ILE VIDEO CLIP YA LWAKATARE NI YA KWELI. NDIO MAANA WAKATI ANAPANGA MIKAKATI MACHOZI YANAMTOKA. KAPEWA MAAGIZO AMBAYO LAZIMA AYATEKELEZE LAKINI NAFSI INAMSUTA KWA KUHUJUMU HAKI YA MTU.

Lazima utakuwa unaumwa ubongo. Kwa hyo neno "KUPAMBANA" limekuuma sana hata umhusishe Dr. Slaa na hiyo muvi. Ukipambana na ujinga unahitaji polisi? Acha upuuz wa ccm
 
Baada ya kuandika hapa wapo watu fulani ndani ya idara wanahisiwa kuwa ni wao , naomba muwaache hao , kikao chetu si ndio kimeisha ........nimeandika hivi ili mjue sio hao ambao hawakua hata kwenye kikao....
 
Ishu hapa ni strategy ya upambanaji. kuna ombwe na strategy ya kuumiza au kuuwa watu wenye hisia kubwa kwa jamii ili serikali ichukiwe na wananchi ni mojawapo!. lengo ni kusafisha njia 2015.

Dhana ya kumwaga damu ya wasio na hatia imemgharimu swahiba wa CDM MR. western favourite elect RAILA ODINGA. ALIDHANI KUTUMA MAJESHI SOMALIA NA KUUWA WATU SANA ITAMSAIDIA KUINGIA IKULU. SASA YUKO WAPI??? THE SAME STYLE CHADEMA IS THINKING & ACTING.

Hapo sio ushabiki wa CCM na usidhani kila mwenye mtizamo tofauti na CDM ni CCM.
 
Tupo tayari sana kama chuma.Watahangahika sana magamba,lakini hapa wamefika .mbinu zao walizosemea ulaya mashariki zimepitwa na wakati.Wao wanachofikiria ni kutisha watu tu.
 
Baada ya kuandika hapa wapo watu fulani ndani ya idara wanahisiwa kuwa ni wao , naomba muwaache hao , kikao chetu si ndio kimeisha ........nimeandika hivi ili mjue sio hao ambao hawakua hata kwenye kikao....
Mkuu kwa jinsi unavyoandika, yuou sound ni mtu ambaye una access na secret info za Usalama, binafsi nakuombea Mungu akupe Malaika wake walinzi waendelee kukulinda na hakuna Baya lolote litatokea Juu yako.
Unafanya haya kwa ajili ya watu wa Mungu wa Tanzania wanaoteswa na Mfumo dhalimu Kabisa bila kosa lolote.
Mungu akutangulie
 
DR. SLAA. Ndugu Waandishi,CHADEMA haiko tayari kuruhusu watu wenye maslahi binafsi kutuchafua mbele ya jamii. Katika hilo, tutapambana na yoyote bila kujali cheo chake, madaraka yake serikalini, fedha alizonazo au madaraka mengine.

MY STANCE:
KAMA HUNA VYOMBO VYA DOLA, JESHI, MAHAKAMA, POLISI, MAGEREZA N.K UNAPAMBANA KWA NJIA GANI KAMA SI KUNYAMAZISHA WATU KWA KUWATESA NA KUWAUA??

KWA KAULI HIYO YA DR. SLAA HIVI WATANZANIA HATUONI KAMA DR. SLAA YUPO NYUMA YA LWAKATARE?? KWA NINI VYOMBO VYA DOLA HAVIMKAMATI KWA KUANDAA MAUAJI???

NAAMINI ILE VIDEO CLIP YA LWAKATARE NI YA KWELI. NDIO MAANA WAKATI ANAPANGA MIKAKATI MACHOZI YANAMTOKA. KAPEWA MAAGIZO AMBAYO LAZIMA AYATEKELEZE LAKINI NAFSI INAMSUTA KWA KUHUJUMU HAKI YA MTU.

Epuka kujidharirisha, ukisikia jambo, au ukisoma jambo kama hukuelewa vizuri ni heri uulize ufafanuliwe. Ukikurupuka kwa ku-criticize jambo au maelezo amayo hujayaelewa unatufanya tujue kuwa wewe ni miongoni mwa wenye akili ndogo sana na humu jamvini usingpaswa kuwemo. Hivi hujui kuwa watu wanaweza kupambana dhidi ya uonevu wowote ule kwa misingi ya sheria bila kutumia silaha, au kufanya mauaji yeyoyote?. Ni akili kama zako sisizo na uwezo wa kufikiria vizuri ndizo zinalipeleka Taifa letu pabaya.
 
Tupo tayari sana kama chuma.Watahangahika sana magamba,lakini hapa wamefika .mbinu zao walizosemea ulaya mashariki zimepitwa na wakati.Wao wanachofikiria ni kutisha watu tu.

mie nadhani CCM wangeiacha tu Chadema maana ni shock absober yao!wakiiua,wajiandae na direct consequences kutoka kwa wananchi milioni 45 especially baada ya kifo cha CDM.watu wametulia kwa vile Chadema ipo na wana matumaini itachukua nchi 2015.kinyume cha hapo,nawaonea huruma hao wachina,watarudi kwao kwa ndege za UN peacekeeping force!
 
nataka kuamini umasikini unapumbaza akili na uwezo wa kufikiri hivi serikali inachukiwa kwa kuua watu wa2,wa3,hivi inaumuhimu kupanga kumuua mtu ili watu wachukie serikali wanayoiamini na kuipenda? km ndo hivyo basi serikali ya Mwalimu,ingechukiwa zaidi maana ndio iliyopeleka askari(raia wa Tanzania)Uganda,Msumbiji,nk.kupigana vita na wengi walikufa,mi naona maisha magumu na kukua kwa matabaka kulikoletwa na ccm ndio kunachochea wananchi kuchukia Serikali.msitafute mchawi
 
Back
Top Bottom