Recent content by Baraka Sawema

  1. Baraka Sawema

    JamiiForums Tanzania Kupelekwa Nairobi kwa Tundu Lissu kwa sababu za kiusalama kama alivyosema Makene ina maana gani?

    Kwani wanapimkataga huwa anatumia nini? vyombo siyo?
  2. Baraka Sawema

    JamiiForums Tanzania Watanzania tukimtumia vizuri Waziri Mwijage China watasubiri!

    Toa Evidence, acha blah blah za kusifia sifia.
  3. Baraka Sawema

    JamiiForums Tanzania Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) yatoa Ratiba rasmi. Uchaguzi kufanyika Oktoba 25, 2015

    Ratiba ya uchaguzi sio uchaguzi..naona hili kama ni technic ya kuwafunga mdomo upinzani ambao umetilia shaka uchagaguzi kufanyika mwaka huu. Hoja ya Chadema ni maandalizi hafifu yanayotutia mashaka uchaguzi kufanyika mwaka huu. Ni mahesabu tu ndugu zangu. Mwaka 2010. Zoezi la kuandiksha wapiga...
  4. Baraka Sawema

    JamiiForums Tanzania Professor Assad ni tunu ya Taifa

    Kiswahili. Je, mtu aweza kuwa tunu?
  5. Baraka Sawema

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa waislamu Tanzania, hasa walio mtandaoni

    Acha utani mkuu
  6. Baraka Sawema

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mbowe na dr. Slaa pekee ndani ya CHADEMA na si wengine?

    Chadema hakuna kujipendekeza..kijana anatimiza wajibu wake..vjana wa ccm ndio wanapata mafanikio kwa kujipendekeza
  7. Baraka Sawema

    JamiiForums Tanzania Hashim Juma Issa kutoka Zanzibar ndiye Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa CHADEMA

    ACT uchaguzi lini?
  8. Baraka Sawema

    JamiiForums Tanzania Kumchagua Daniel Naftal kuwa mwenyekiti wa BAVICHA taifa ni sawa na kuizika bavicha

    Human lolote umeona baada ya uchambuzi Wa Edson Kamkara Tanzania daima j5 anampa nafasi huyu jamaa ndio maana unaleta uchonganishi wako...kama kweli we no mwanachadema sema no wapi au katika tukio gani alikosa msimamo? nilini alipokea rushwa au alikaribia kupokea rushwa? Vinginevyo we no mmbeya...
  9. Baraka Sawema

    JamiiForums Tanzania Siri ya Kikao cha Diallo na Deus Mallya chavuja movie ya Kifo cha Chacha Wangwe

    Chadema haikujengwa kwa siku moja na haitauawa kwa siku moja kama ccm wanavyodhani. Pia ccm wafahamu Kuwait asilimia kubwa ya wanachama na wafuasi Wa cdm wanajitambua name ni wasomi ambao huwezi kubadili mapenzi na mtazamo wao kwa siasa nyepesi za maji taka.
  10. Baraka Sawema

    JamiiForums Tanzania Project funding sources

    Hongera sana mkuu
  11. Baraka Sawema

    JamiiForums Tanzania Kumekucha CCM, hii ni aibu ya mwaka

    Picha hizo in za kweli kabisa hapo no segerea mwisho shule ya migombani...Leo wamepiga mziki kuanzia SAA 1 asubuhi hakuna watu waliokuwepo zaidi ya wanawake wachache
  12. Baraka Sawema

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Raha ya mechi magoli na mfungwaji na yeye awe anafunga

    haya undo mnayaweza wadanganyika
  13. Baraka Sawema

    JamiiForums Tanzania Baraza la Wanawake CHADEMA: Lilian Wassira, Sophia Mwakagenda & Rachel Mashishanga...

    mkopo so zawadi...pia no serikali ya jamhuri ya muungano Wa Tanzania...hakuna serikali inayoitwa ya ccm duniani.
Back
Top Bottom