Kwanini Mbowe na dr. Slaa pekee ndani ya CHADEMA na si wengine?

Kwanini Mbowe na dr. Slaa pekee ndani ya CHADEMA na si wengine?

Nicholas hata ujipendekeze vipi chadema hawana mpango na wewe waulize yericko na ben saanane walichofanywa na Mbowe na Slaa.
 
Utaishia kubeba mikoba ya mbowe halafu unatupwa kule.
 
Chadema imeshaanza kupukutisha CCM na vibaraka wake. Uchaguzi wa baraza la wazee umewaacha Ritz, Mingoi, Ruttashobolwa na mjepo wanakata mauno tu hapa jf

Wewe Mtoto huna adabu kabisa yani unawadanganya watu kuwa chadema itachukua nchi wakati juzi mlitumia chopa tatu majimbo mawili mkaondoka patupu?

Hebu twambie unatumia indicators gani kuonesha kuwa chadema inaweza kuchukua dola?

Mimi naweza kukwambia Chadema inaweza kuwa chama cha kukopesha yanii Saccos sababu wameweza kumkopesha Slaa!

Kwa uchu wa madaraka mlio nao sitoshangaa mkigeuka kikundi cha uasi baada ya kushindwa mwakani!

Slaa na Mbowe ni Madikteta!
 
Last edited by a moderator:
Chadema imekaa kisultani.,Hakuna demokrasia kabisa.

Definition ya demokrasia sio kuruhu mamluki na wasaliti,la!kwangu mimi maana aya Demokrasia ni maamuzi ya Kidikteta ya watu wengi,dhidi ya maamuzi ya wachache

:angry:
 
Kwani wamekosa nini. Mbona vyama vingine hamuvisemi na viongozi wake.
 
Nicholas hata ujipendekeze vipi chadema hawana mpango na wewe waulize yericko na ben saanane walichofanywa na Mbowe na Slaa.


Nini maana ya Kujipendekeza mkuu?mimi ni kijana mkulima wa Kibondo Kigoma ambae najaribu kutekeleza sera mfu ya Kilimo Kwanza,sihitaji kujipendekeza kwa mtu yeyote yule hata Makadava wenzako wa CCM
 
Hibu ccm mtuambie uchaguz wa cdm unawahusu nn?mbona kla kukicha cdm?hao mnaowataka mna mpango gani nao? Chama sio chenu mbona mnahaha sana? Nionavyo kampeni mwakani itakuwa rahisi maana mtaitangaza cdm wenyewe bila kujua ongezeni juhudi,majuha kweli nyinyi.
 
nakubaliana na wewe. Bavicha, lilian anaweza kuleta changamoto, hata Mdee!
 
Kenya na Somalia wanasumbuliwa na Alshabab,Nigeria Bokoharam,west Africa Ebola,Congo vikundi vya waasi bt Tanzania tunasumbuliwa na hiki kikundi cha kilaghai na ufisadi CCM na watu wake,ee Mungu tutie nguvu na ujasiri wa kupambana nacho mpaka kishindwe
 
Nicholas hata ujipendekeze vipi chadema hawana mpango na wewe waulize yericko na ben saanane walichofanywa na Mbowe na Slaa.

Chadema hakuna kujipendekeza..kijana anatimiza wajibu wake..vjana wa ccm ndio wanapata mafanikio kwa kujipendekeza
 
Back
Top Bottom