Recent content by Baraka Sabi

  1. Baraka Sabi

    JamiiForums Tanzania Walimu wasio na ajira; ushauri kwa Serikali

    WAKUU, AMANI NA IWE NANYI. Ni lengo la sera ya elimu ya mwaka 1995 na 2014 kuwa na Mtanzania aliyeelimika, mwenye maarifa, stadi na mtazamo chanya katika kuchangia maendeleo endelevu ya Taifa la Tanzania. Nikiri tu kwamba, Serikali imefanikiwa kuwaelimisha kwa kuwapa maarifa na stadi walimu...
  2. Baraka Sabi

    JamiiForums Tanzania International airport ndani ya Serengeti ni makosa makubwa kiuhifadhi

    Eneo kutakakojengwa uwanja wa ndege si ndani ya mbuga ya wanyama ya Serengeti. Niko jirani na eneo husika(uwanja wa ndege) na liko mbali na mbuga ya wanyama
  3. Baraka Sabi

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba "Miradi Itasimama Kama Mikataba Yote Ikiletwa Bungeni"

    Kwani Bunge lina kazi gani?
  4. Baraka Sabi

    JamiiForums Tanzania Tumepoteana. Tujirekebishe

    Wajumbe si watu!
  5. Baraka Sabi

    JamiiForums Tanzania Hongera! Waziri Mkuu (Kassim Majaliwa); Umekuwa Kielelezo cha Kuigwa

    Ulipopendekezwa kuwa Waziri Mkuu, Watanzania walio wengi hawakutegemea. Isitoshe siku Mh. Rais analitaja jina lako Bungeni, hata wewe hukutarajia. Ulighubikwa kwa chozi la furaha huku moyoni ukitafakari utaitendea nini Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika nafasi uliyoaminiwa. Nikupongeze kwa...
  6. Baraka Sabi

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha kuita nchi majirani zako kuwa ni "vinchi" ni uungwana?!

    Tupia tarehe ya kuandamana ili tudai haki yetu Kamanda.
  7. Baraka Sabi

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu October 2020, Mungu atuongoze kuwapata Wawakilishi wenye moyo

    Ni kawaida mtu anayeomba kuwa Mwakilishi wa watu hutumia lugha ya ushawishi kwa lengo la kutafuta imani toka kwa watu anaotaka kuwaongoza. Huu ndio uhalisia kwa mujibu wa sheria na taratibu zetu za nchi. Cha kushangaza, wagombea walio wengi wamekuwa wakiwashawishi wapiga kura wao kuamini hata...
  8. Baraka Sabi

    JamiiForums Tanzania Zitto: Mapato ya mwezi Mei hayatoshi kulipa mishahara, Serikali imeamua kukubali kulipwa USD mil 100 ya Acacia na iliyosalia kwa awamu hadi miaka 5

    Sijalielewa dhumuni la mwandishi. Analenga kutujulisha nini sisi wananchi.
  9. Baraka Sabi

    JamiiForums Tanzania Lijualikali: Mimi ndio nimeitoa CHADEMA mbali na kuifanya ijulikane Kilombero, watu walikuwa hawaijui

    Anatenda analolijua bila kujua analolijua sio linalotakiwa kujulikana na wanayoyajua wajuzi. Alikohamia wachunge sana. Siku akihama atamwaga mboga tena. IQ signal iko 2G. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Baraka Sabi

    JamiiForums Tanzania Maisha Bora kwa kila Mtanzania: Je, Mfumo wa Elimu una Mchango gani?

    Elimu ni ujuzi, maarifa na stadi azipatazo mtu katika mazingira yanayomzunguka ama maisha yake ya kila siku, zinazomwezesha kufanikisha kwa ufanisi na weledi utekelezaji wa majukumu yake kwa faida yake mwenyewe na jamii kwa ujumla. Chimbuko la mfumo wetu wa Elimu ni kipindi cha mkoloni...
  11. Baraka Sabi

    JamiiForums Tanzania Wakili Ishabakaki: Idris Sultan anahojiwa kwa kuicheka picha ya Rais

    Anavuna matunda ya kazi yake. Si mtoto mdogo asijue kifuatacho baada ya kazi aliyoiandaa na kuirusha mitandaoni. Anyway avumilie kwa yote japo atapata tabu Sana. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Baraka Sabi

    JamiiForums Tanzania Mnaohamahama vyama vya siasa: Je mnajua dhambi mnayoitenda na madhara yake?

    Kuwa mfuasi wa chama fulani ni uamuzi aufikiao mtu baada ya tafakuri ya kina na upembuzi yakinifu juu ya faida na hasara atakazozipata ama kukabiliana nazo. Yumkini, mfuasi huwa ni mtu aliye tayari kupambana na kukabiliana na changamoto zozote zile zinazoweza kujiitokeza dhidi ya maamuzi yake...
  13. Baraka Sabi

    JamiiForums Tanzania Tanzania yapokea Msaada wa Dawa ya kufubaza COVID-19 kutoka Madagascar

    Viva Africa. Japo hawataki kutukubali. Tuzidi kuwa vinara katika nyanja nyingine pia. I proud of Africa. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Baraka Sabi

    JamiiForums Tanzania Tukidhani ni Binadamu wenzetu, kumbe ni mashetani! Mtu unaombeaje mwenzako afe kwa Corona? Can't believe this wickedness! Huu sio utu, ni ushetani!

    Tabaka la watu maskini tena wa fikra hutawaliwa na wivu ama kijicho. Wao ukesha wakiwaombea mabaya ama mikosi binadamu wenzao. Bahati mbaya sana maombi yao Mungu huyageuza na kuwa baraka kwa walengwa. Huendelea na mfumo huu wa maisha mpaka wanazeeka wakiwa maskini. Hii ni dalili mojawapo ya...
  15. Baraka Sabi

    JamiiForums Tanzania Hongera Waziri Ummy Mwalimu kwa mkakati mpya wa kupambana na COVID19

    Naipongeza Sekta ya Afya nchini kwa jitihada kuntu inazozichukua katika kukabiliana na mlipuko wa COVID-19 tangu kuingia kwake hapa nchini. Ni wazi wataalam wa Afya wameonyesha "Commitment" itokayo mioyoni mwao huku wakiitendea haki mikataba yao ya ajira katika kipindi hiki kigumu. Kutokana na...
Back
Top Bottom